Hivi kuchakachua bado kunaendelea....????

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,515
2,000
:angry: Leo Nimeanzia NEC: Election Results on a Geographic Map nikihitaji kujua idadi ya madiwani na kura walizopigiwa ili nije na majumuish tuyajadili hapa lakini.....

Nikakutana na:
Service Temporarily Unavailable

The server is temporarily unable to service your request due to maintenance downtime or capacity problems. Please try again later.
Apache/2.2.3 (CentOS) Server at The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage Port 80 Sasa ninachojiuliza na kumiulizeni "HIVI BIASHARA YA UCHAKACHUZI BADO INAENDELEA???

:angry: Pili Mwanajamvi yeyote ambaye ana matokeo kamili ya Kura za Madiwani Tanzania nzima tafadhali tuwekee hapa, ili tuweze kujadili na kutanua wigo wa maarifa katika hilo. Ahsanteni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom