Donors cutting funding for kikwete & his govt.

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
0
kuna wadau wameanza kampeni "PETITION" ya kuzitaka nchi wafadhili kukata misaada kwa Tanzania kwa sabau za kifisadi za serikali ya kikwete. Mnaomba kusaini hiyo petition ili hawa mafisadi washike adabu.... wanaiona nchi kama yao, linki hiyo hapo

DONORS CUTTING FUNDING FOR TANZANIA
 
Susuviri

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
3,713
2,000
Mkuu initiative nzuri sana ila ningewashauri, mtafute background na fonts simple ili maneno yasomeke vizuri. Make ur layout neat and legible.
Ni ushauri wa bure na endeleeni na kazi yenu nzuri!
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,212
2,000
Kama kuna vita ambayo nimekuwa nikiomba na kusugua magoti ianze, basi ni hii!
Amani haiji, ila kwa ncha ya upanga!
Punda haendi, ila kwa mjeledi!
Wakenya walishapita huku kitambo, hawacheki na fisadi, na wala hawangoji wapate Evidence kama mazuzu sisi tunavyodanganywa kwa peremende na lawalawa!
Yeyote anayeingia ktk vita hii, ana baraka zangu nyingi!
 
Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
0
Can you please first introduce yourself and the ownership of your blog and or organisation before anyone could take you seriously on the petition thing which essentially a wonderful idea.
 
zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,062
0
Serikali yenyewe ya CCM ni sera yake kupunguza msaada wa bajeti. Kwa hiyo hii petition itakuwa ni nzuri sana kusaidia kufika huko kwenye kujitegemea kwa bajeti yetu haraka iwezekanavyo. Hii itakuwa ni nzuri sana na itatufikisha pazuri sana kwa haraka sana. Mimi wa kwanza kuisaini hii.

Siku zote si vizuri kuwa omba omba. Na tumeona JMK alivyozishusha asilimia za utegemezi wa bajeti kutoka zilipokuwa kabla yake na mpaka sasa zipo chini na kila mwaka ataendelea kuzishusha mpaka tuwe tuna bajeti yetu mia kwa mia. Rejea hotuba ya kuzinduwa Bunge la 10.
 
zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,062
0
Kama kuna vita ambayo nimekuwa nikiomba na kusugua magoti ianze, basi ni hii!
Amani haiji, ila kwa ncha ya upanga!
Punda haendi, ila kwa mjeledi!
Wakenya walishapita huku kitambo, hawacheki na fisadi, na wala hawangoji wapate Evidence kama mazuzu sisi tunavyodanganywa kwa peremende na lawalawa!
Yeyote anayeingia ktk vita hii, ana baraka zangu nyingi!

Wewe ndie fisadi mkubwa sana kwa kutaka machafuko. Unatangaza vita? Unajuwa athari zake?
 
lm317

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
451
195
Wewe ndie fisadi mkubwa sana kwa kutaka machafuko. Unatangaza vita? Unajuwa athari zake?
'

Tunajua athari zake;
1. Mafisadi wote watauawa na wengine kufungwa au kukimbia nchi
2. Nchi itaendeshwa vizuri kwa uwajibikaji, ukweli, na uwazi
3. Viongozi watawaheshimu wananchi (Umma)
4. Mengine waweza kuongezea hata wewe!
 
Misterdennis

JF-Expert Member
Jun 4, 2007
1,748
1,500
Serikali yenyewe ya CCM ni sera yake kupunguza msaada wa bajeti. Kwa hiyo hii petition itakuwa ni nzuri sana kusaidia kufika huko kwenye kujitegemea kwa bajeti yetu haraka iwezekanavyo. Hii itakuwa ni nzuri sana na itatufikisha pazuri sana kwa haraka sana. Mimi wa kwanza kuisaini hii.

Siku zote si vizuri kuwa omba omba. Na tumeona JMK alivyozishusha asilimia za utegemezi wa bajeti kutoka zilipokuwa kabla yake na mpaka sasa zipo chini na kila mwaka ataendelea kuzishusha mpaka tuwe tuna bajeti yetu mia kwa mia. Rejea hotuba ya kuzinduwa Bunge la 10.

Wewe unajulikana una matatizo sio bure. Hakuna jipya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom