Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,173
Kuna watu wana ham kweli ya kuona Chadema kinapotea katika medani ya siasa.
Ninawasikitikia kwa sababu wamechelewa.
Chadema kimeteka akili za Watanzania waliokwenda shule kama CCM kilivyoteka fikra za majuha wa Tanzania.
Kwa mtindo huo huo Chadema kimeteka fikra za wasomi kama CUF kilivyoteka akili za Wapemba.
Wakibeza, wakikejeli, wakitukana, wakikashifu wasomi watajua tu. Wasomi watawapuuza. Watawadharau.
Wanaowaza kukisambaratisha lazima waanze na sisi tunaokiunga mkono kwanza.
Watusambaratishe sisi kwanza kimawazo (sijui wataanzanzia wapi?).
Vinginenvyo kubalini yaishe.
Kwamba Tanzania sasa kuna chama cha kweli cha upinzani.
Chadema.