Obama amwambia rais Bagbo akubali kushindwa. JK je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama amwambia rais Bagbo akubali kushindwa. JK je?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KunjyGroup, Dec 7, 2010.

 1. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Obama amemwambia rais Bagbo kwamba akubali alishindwa kwa mpinzan wake na aachie madaraka.
  Kwanin Obama hakumwambie JK kwamba ameshindwa na amuachie Slaa nchi?
  Kama mnakumbuka mmoja wapo wa ahadi za Obama kwa Afrika, ilikuwa ni kushugulikia marais ving'ang'anizi wanaoiba kura. Mbona he's not stood by his words? Ahadi ni deni
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Dec 7, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,606
  Likes Received: 3,906
  Trophy Points: 280
  Who is Obama? is he Tanzanian?

  Americans have common interest which does not change whether Republican or Democratican stay in Power!

  Americans are after something in Tanzania!!1 Dont trust them oohh!!

  Kindly, wipe away that slavish statement.
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  ................kWA SABABU WATANZANIA TULINYAMAZA. tUNGEPIGA KELELE KAMA WENZETU WALIVYOFANYA NA KUSIMAMA KIDETE UNGEMSINGIA OMELA ANAMBWATUKIA MJAMAA BILA KUKOPESHA. OBAMA PAMOJA NA MAMBO MENGINE ANAANGALIA AMANI KWANZA. MKIKUBALI KUBULUZWA MKAISHI KWA AMANI HUKU MKIBURUZWA, BASI ANYANAMAZA, ILA MKILALAMIKA NDIPO ANAKUNJUA MAKUCVHA YAKE.
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu Wabe wacha kusema hivyo; umesikia leo viongozi wetu wa wizara ya fedha wanapiga magoti kuomba chochote kwenye kopo ama sivyo bajeti haifiki. Ni kutokana na unyonge wetu wa aina hiyo ndiyo maana Obama na viongozi wote wa magharibi wanakuwa na sauti juu kwetu pia
   
 5. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hali ya ivory coast ni tofauti na tz,wakati hapa tuliwabembeleza nec wasiendelee kutangaza matokeo feki wakati sisi wenyewe hatuonyeshi matokeo halali,wenyewe wana kila kitu(concrete evidence)jipangane next election for your own tallying
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  Dec 7, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,606
  Likes Received: 3,906
  Trophy Points: 280
  Sawa mkuu, ni viongozi wetu na wanafanya hivyo

  Lakini bado I insist, isifikie muda common citizen akaona ukombozi uko kwa obama, ukiwaambia leo watanzania tuandamane haumuoni mtu.

  USA is nothing for the fate of our country na ni aibu kubwa kusema watuamulie mambo yetu, acha viongozi watuaibishe lakini siyo wote

  kenya na ukame wao hawawategemei wahisani kwenye bajeti yao, watanzania na utajiri wote hamna kitu!!!! unajua inashangaza
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kila jamii ijipange kujikomboa wenyewe.

  Waswahili walishasema zamani mtegemea ndugu hufa masikini seuze kutegemea nchi za mbali!

  Tunataka haki na tuipiganie haiji hivi hivi.
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Dec 7, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Obama just needs to shut up. He needs to worry about the 9.8 unemployment rate and how he is going to work with the Republican majority in the house.
   
 9. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Ivory coast mpinzani alishinda kwa kura zilizopigwa vituoni wakati slaa alishinda kwa kura zilizopigwa hapa JF na merekani kwa Mwanakijiji
   
 10. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,205
  Trophy Points: 280
  Western countries si wajinga huwa wanasubiri kwanza waone pressure ya ndani ikoje wakiona mazoba wanawaacha lakini wakiona wananchi wenyewe wamegangamala ndipo wanajidai kuingilia kama Zimbabwe na Kenya.
   
 11. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,205
  Trophy Points: 280
  Sio JK alishinda kura zilizopigiwa NEC mbona hiyo iko wazi.
   
 12. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,801
  Likes Received: 6,311
  Trophy Points: 280
  Tume ya Uchaguzi ilimtangaza mpinzani kuwa mshindi halali. Obama anafuata hicho tu.

  Kama NEC yenu ingekuwa na jeuri ya kumtangaza Dr. Slaa, Labda Obama angetia neno....who knows?
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu awali ya yote Slaa hakushinda uchaguzi na hilo halina utata.

  Pili, unataka apewe kuongoza nchi mtu ambae anapora wake za watu? Hata kanuni za kanisa lake, ambalo halimruhusu kuwacha na kuchukuwa mke wa mtu ambae hajaachwa, kazivunja. Mie ntaishangaa Tanzania na dunia itayoruhusu hilo.
   
 14. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  rudini nchini au piga simu kijijini kwenu muulize bibi yako kama anamjua slaa, atakujibu yule padre aliyepoka mke wa mtu?lakini hajulikani kama mgombea urais, kura zake zinakaribiana na akina spunda.
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hivi kuna sehemu Dk. Slaa keshawahi kusema kuwa alishinda yeye urais?
   
 16. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #16
  Dec 7, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  As a concerned citizen i dont expect any foreign power to determine my fate...however,they can play their part as members of international community without jeopardizing national sovereignity and our intergrity since Tanzania can never live or survive in an Isolated life
  Now let me hear from the bunch of hypocrites from the govnt condemning what is happening in Abidjan now,huh!

  As for the Western Block in general and America in particular ,.....I don't support that power sharing thing, it's a fraud both parties have good reason not to perform and the people that suffer is the Masses. The UN should have never supported this formular in Kenya and Zimbabwe as half justice is no justice and that what this power sharing phenomena is. Now you can bet that any africa leader (power block) that losses an election will just unturn it and cause some disruptions, knowing he would be offered a power sharing deal.

  Another reason why this leaders wouldn't want to leave is that the WEST is now using the International Criminal Court (ICC) as a tool of vengeance against Africa leaders the don't dance to their tunes. As much as I Hate Charles Tarloy( I lost people I knew to his ruthlessness) I think since he willingly left power he would have just been left in exile. Now seeing the fate of charles Tarloy, people like Mugabe and Gbagbo(who troop killed french troops who were supporting rebels) rather the whole zimbabwe and Ivory Cost burn than for them to resign to be handed over to the ICC

  Why didnt ICC put Bush behind the bars for commiting war crimes against humanity,Genocide massacre!

  As for United Nations,you are such a toothless dog barking without biting or barking to conquer your fear...review your Charter and principles governing your mandate in the world
   
 17. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #17
  Dec 7, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Now,i have come into conlusion that you need no advise,you need a mental surgery period!
   
 18. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Hakuna kwa mujibu wa kumbukumbu zangu ila alisema matokeo yaliyompa ushindi JK ni ya kupikwa na NEC na yeye na kundi lake wakaomba muda waje na matokeo yao lakini hadi sasa hawajafanya hivyo, nadhani somewhere calculator iliishiwa wino au mwanakijiji alichelewa kumtumia matokeo.
   
 19. F

  Froida JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  KIKWETe hakushinda alitangazwa na NEC tuhuma za kuzushiwa kupachikwa uongozi ni nzito mbele yake binafsi na mbele ya jumuiya ya kimataifa asingepachikwa nina uhakika sasa hivi angesema vinginevyo hajawahi kupinga hadharani kusema yeye ameshinda kihalali tunachosikia ni uchaguzi umekwisha tutibu majereha
   
 20. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #20
  Dec 7, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Obama aliisha sema uchaguzi wa Tanzania ulikuwa huru na wa haki, mwataka afanye nini ? Jiapngeni 2015
   
Loading...