Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm chama dume chaizalisha cuf mapacha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PhD, Dec 10, 2010.

 1. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,798
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  kwa jinsi CUF walivyojiingiza mkenge kwa akina seif sharif waroho wa madaraka kuanza kuingizwa uwanja wa Taifa kwa kutumia lexus , sasa naamini CCM imewazalisha CUF mapacha kwanza kwa kukiua chama hicho completely lakini pili kwa kuwalewesha madaraka na kuwaliwaza kwa madaraka yasiokuwapo kikatiba lakini mwisho wa yote ni kuwatumia kwa muda na kisha watawadampo kama condom ukizingatia ukweli kuwa ndani ya miaka hii mitano CUF itakuwa haina nguvu tena na wala haitakuwa kitisho kwa CCM, ama kweli CCM chama dume.
   
 2. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,171
  Likes Received: 2,331
  Trophy Points: 280
  Swali kwa yeyote...... HIVI CUF WANATEKELEZA ILANI YA CHAMA GANI...........???
   
 3. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,676
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Hahhaaaa!!!! we jamaa umenipa raha sana. Umenikumbusha rafiki yangu mmoja aliamua kumpa binti wa watu mimba ili asimkimbie

  CCM they are so strategic, they can not do anything that doesn't favor them. Forget CUF
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,504
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  CCM na CUF wote warembo.

  Wanagombania bwana. Chadema.
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,359
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahahahaha,dah
   
 6. papason

  papason JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 1,888
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160


  Yaku wapi yale maneno ya CUFo mara ohoo tuko ngangari kinomaa mara ohoo nginjee nginjee mpaka baharii, alafu leo hiii mdebwedoo wa kufa mtuu, poleni sanaa wana CUFo

  tehee tehee!!!
   
 7. P

  Proud Patriot JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  thank yu, umenikosha mno! tena wamezaa kwa operesheni,
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,517
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa kama vile Ze Ban inanukia hapa, ila kama ni kweli wamewazalisha dah, basi kweli hawa jamaa ni warembo.... na sie si tuwachumbie? nimeuliza tu!!!
   
 9. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,294
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ha ha ha ha ha wewe si ile ya ccm? ngoma ya watoto haikeshi, sasa cuf wamekuwa used spare parts
   
Loading...