chaama kitachoongoza tanzania ni kimoja tu.C.C.M.

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,415
16,574
zitttoo.bmp


yaelekea huyu jamaa ndivyo anavyosema ingawa hatukumuelewa.
 
zitttoo.bmp


yaelekea huyu jamaa ndivyo anavyosema ingawa hatukumuelewa.


nakushukuru kwa hii picha, ulichonisaidia mimi ni kuwafunga mdomo habari leo na habari corporation, maana waliingiza propaganda kwamba mbowe ndio uvaa kombati za mikono mirefu, na zitto kombati zake ni za mikono mifupi, yaani kuonesha kwamba anaevaa mikono mifupi ni mfuasi wa zitto na anaevaa mikono mirefu ni mfuasi wa mbowe. Asante sana kwa picha hii, watumie habari leo waambie kumbe zitto ni mfuasi wa mbowe.
 
Back
Top Bottom