Elections 2010 Sorry NEC let me be on record... You will ruin this election!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,988
I don't know how to put this in such a way that it would not be seen like some kind of condescending... YOU are attempt to mix sms, internet, computer technology in a massive election such as hours without ever testing it in a serious of election will result to chaos, and ultimately you will ruin THE ELECTION. I would suggest that technology should be very limited and where it is used you should have a manual back up system in place.

Just a friendly reminder.. on the other hand I hope it will run smoothly..
 
Definately, you cant deploy a system without testing it and declare it will be in full swing.

They should test it in other elections before telling us they will use it in the coming elections.

They know what is their aim.
 
Thanks MMM

Kuna wakati huwa nashindwa hata kutafakari hali itakavyokua kama NEC wakivuruga uchaguzi... laana intabidi wabebe wao yote
 
Hizi ni mbinu chafu, zinapikwa ili kuchakachuwa matokeo, kama wana hiyo tekinolojia, ni kwa nini kura zisipigwe kielectronic!? na watanzania walio nje ya nchi kwa nini wasiruhusiwe kupiga kura! huu ni uhuni, sijui kama tutavuka salama mwaka huu. maana inaonesha dhahiri wananchi hawatayakubali matokeo kuchakachuwa, mfano angalia yalivyokatiliwa matokeo ya tafiti mufilisi za redet na synovate.:nono:
 
I don't know how to put this in such a way that it would not be seen like some kind of condescending... YOU are attempt to mix sms, internet, computer technology in a massive election such as hours without ever testing it in a serious of election will result to chaos, and ultimately you will ruin THE ELECTION. I would suggest that technology should be very limited and where it is used you should have a manual back up system in place.

Just a friendly reminder.. on the other hand I hope it will run smoothly..

Tanzania ni nchi corrupt.

Mifumo yenyewe ya computer ni mibovu. Mfano mdogo tu. Jaribio la wanafunzi kutegemea kupata taarifa za walikopangiwa kupitia mifumo ya computer ya TCU limefeli vibaya. Wanafunzi wana haha kupata matokeo kwa utaratibu waliozoea wa kufungua tovuti za vyuo husika. Lakini kabla WALIDANGANYWA kwamba wangepata taarifa kwa njia ya email.

Ni aibu kubwa kwamba server inashindwa kuhudumia wanafunzi 100 kwa wakati mmoja. Server ya facebook inaweza kuhudumia mamilioni ya watu duniani kwa wakati mmoja.

Waseme tu ukweli. Hiyo ni dili nyingine wamepeana. UFISADI. Kununua server za mafungu kwa mamilioni ya shilingi. Kutoa tenda ya huduma ya SMS kwa kampuni zao za mifukoni.

HILI NALO HALITAFANIKIWA!!!
 
wenzao guinea wamefungwa mwaka mmoja kwa kujaribu kucheza na idadi ya voters,let it be a lesson to our rotten nec
 
NEC should not at any time play with our constitutional rights for a just and fair election outcome.........................
 
Nadhani ukiwa chama hiki hutaisha kulalama.... Ya redet na synocate yameisha?
 
Kinachonitisha ni kuhusu hao IT experts wa NEC, ghafla hivyo wametoka wapi? Mbona hata website ya NEC ni kichekesho?
 
We are working on the use of IT in 2010 election and we are finding interesting information, we will come out soon but who is
Mwaijonga, Geofrey MacLeans and Richard Kasesela?
 
electronic election? lini wamepata ujuzi na uzoefu wa kutumia computer hadi vijijini? sasa hapa ndio pala wale walinzi wetu watakapoibiwa kura huku wakiwa wamekodoa macho mchana kweupeee, Mungu atuepushie hii dhuluma
 
i don't know how to put this in such a way that it would not be seen like some kind of condescending... You are attempt to mix sms, internet, computer technology in a massive election such as hours without ever testing it in a serious of election will result to chaos, and ultimately you will ruin the election. I would suggest that technology should be very limited and where it is used you should have a manual back up system in place.

Just a friendly reminder.. On the other hand i hope it will run smoothly..

are you sure that judge lewis makame nad hon kiravu are computer literate and conversant with it? Otherwise your piece of advice will fal on deaf ears.
 
tutegemee nini hata wimbo wa taifa tunashindwa kupiga kwenye mfumo wa sauti wa uwanja wa taifa. Tutaweza kuratibu kura kwa teknolojia hii. Au kuna sababu nyingine nyuma ya hili zoezi??????
 
They are testing a gun in the war zone. ICTs are part of MDG 8, thus they want to impress UN without thinking of the consequences of employing a technology without testing and seeing if it is needed.
 
Hiyo ni mipango ya ccm kushinda kwa kichindo, kama kuna mtu na aseme sasa au akanushe. Kuna kila dalili kuwa Jaji Makame na wenzake watamaliza miaka yao ya maisha vibaya kama hawatenda haki.

Its very funny Tanzania kuwa na mfumo kama huo wakati watu 10 wawili tu wanaweza kutumia computer tena kwa DSM hapo, nenda nje kidogo ya Dar ni maumivu kwenda mbele. NEC naona wanataka tuuane kwanza harafu wao wafuate jela.
 
They are doing it purposely ili baadae waseme technology ilikuwa mpya ndo maana imeshindwa kufanya kazi vizuri. Hata ukimchukua learner wa mambo ya IT anajua kuwa kuna kitu kinaitwa user acceptance testing (UAT) kabla hujaenda live. Inakuwaje NEC wakubali mambo kienyeji enyeji. Hii nchi kila mtu anafanya mambo kienyeji. Inatakiwa overhaul ya system maana kuna watu tumewapa madaraka na hawajui wanachokifanya.
 

nakuomba upitie pale magomeni ukachukue kofia ya mnajimu yahya! a little side-note, i think nec ruined this election intentionaly and knowingly by deploying never-tested-before systems with a lot of security flaws so that their IT fanatics get to intercept the process,
 
Unajua vitu hivi havihitaji unajibu wa aina yoyote ile. Inahitaji muda kidogo tu kufikiria na kujaribu kuona mbele.
 
Back
Top Bottom