Zanzibari ni Palestina ya Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibari ni Palestina ya Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Dec 10, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Maana inadekezwa sana atiii.

  Kama inavyodekezwa Palestina na Waarabu. Fatwa kuua Myahudi. Dhulma kuua mpalasina.

  Wao waje waunde serikali kwetu Tanzanuia Bara.

  Sisi Watanzania Bara MARUFUKU kuunda sirikali yao. Makafiri sisi. Wanatuita.

  Ukweli lazima usemwe.

  JK lazima ajirekebishe namna anaendesha sirikali yake, or tutaingia kwa keos.
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Inategemea mwalimu aliyekufundisha somo historia ya Tanzania. Nani anajua pengine ulilisomea Japan, kuna mambo mawili ama ulimwelewa mwalimu wako au hukumwelewa lakini katika macho ya watanzania wengi Zanzibar sio Palestina.
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Jerusalem unaonekana post zako ni majibu ya Malaria sugu lakini Ukristo hauna mafunzo hayo ya kudhihaki dini nyingine yamkini utaishushia hadhi dini yako kwa yesu kristo.Kama kweli umeiva vema katika Ukristo utajaa moyo wa upendo kwa wale wasio wakristo wakiwemo watanzania wenzetu na ndugu zetu waislamu. Hoja za Malaria sugu sio za waislamu wote wanaipenda Tanzania na hoja zako Jerusalem sio za wakristo wote wanaoitakia mema nchi hii.

  Kama ningekuwa nawafahamu (Malaria sugu na Jerusalem) nje ya mipaka ya jukwaa la jamiiforums, ningefanya kazi ya kuwasuluhisha ili kila mmoja wenu akabaki na dini yake na kisha mkatuachia Tanzania yetu salama salimini.
   
 4. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Fofofo, naamini Yerusalem sio Mkristo, nadhani ni Myahudi. Siadhani kama Uyahudi unatofautiana na fikra hizi, ila Ukristo kidogo ni tofauti kimtazamo na kimsimamo.
   
 5. t

  tufikiri Senior Member

  #5
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zanzibari ni Palestina ya Tanzania?
  Maana inadekezwa sana atiii.

  Kama inavyodekezwa Palestina na Waarabu. Fatwa kuua Myahudi. Dhulma kuua mpalasina.

  Wao waje waunde serikali kwetu Tanzanuia Bara.

  Sisi Watanzania Bara MARUFUKU kuunda sirikali yao. Makafiri sisi. Wanatuita.

  Ukweli lazima usemwe.

  JK lazima ajirekebishe namna anaendesha sirikali yake, or tutaingia kwa keos.  Hivi kweli watz wa sasa ambao tunachangamoto kubwa za kimaendeleo bado mtu kama huyu analeta thread ka hii isiyo na kichwa wala miguu.
   
 6. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  tunaomba katiba tuuuuuu
   
 7. M

  Mwera JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  fofofo we mjanja nakupa 100thanks,unajua sisi watanzania ni ndugu ni wamoja twapendana,mkristo anapendana na mwislam na mwislam anapendana na mkristo na wanazaa pia tuishi kwa upendo,ijapokua sheria yakiislam hairuhusu kuzaa nje yandoa ila watanzania tumechanganya damu tuache kuvurugana bana sio zuri kabisa
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180

  Hivi ni nani yule aliyesema hana imani na JK? Ninafarijika sana kusikia vile. mdini!!!!!!!!!!!!
   
 9. N

  Nonda JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Jerusalem,

  Mkuu ,tafadhali ufanye haraka upate ushauri nasaha, msongo wa mawazo ulionao takes its toll! Utakumaliza.

  Kwanza, utambue kuwa Zanzibar ni m-bia wa muungano. Au hulijuwi hili? Zanzibar aliungana na nani? Aliungana na Serikali ya Muungano?

  Tatizo lako linaanzia hapo. (kasumba za muda mrefu zinafanya kazi yake!)


  Pili, Ukiilinganisha Zanzibar na wazanzibari katika mtazamo huu

  Ariel Sharon: "There is no such thing as a Palestinian."
  Ehud Barak: "If I were a Palestinian, I would be a terrorist."  Ni wazi utakuwa una-cloud your reasoning, kwa hiyo kujadiliana na mtu kama wewe ni kupoteza nguvu bure.

  Mimi ninavyowafahamu wazanzibari ni kuwa wao ndio wametuamsha sisi huku bara kisiasa. Unakumbuka Mwalimu alipochafua hali ya hewa Zanzibar na kumlazimisha Aboud Jumbe ajiuzulu? Alipowafukuza akina Seif Sharif , Hamad Rashid na wengine.? Sababu ni kwa wao kutetea haki na usawa katika Muungano.

  Tunawapachika viongozi tunaowataka sisi kule Zanzibar , mfano Shein this time.

  Kama ni kuua, basi ni sisi ndio tumewauwa wazenj, si unakumbuka serikali ya Mkapa iliuwa na kutesa wengi kule zenj?

  Hao wanaokwitwa wewe kafiri labda ni kwa sababu unawaita terrorists.

  Hate breeds hate! .....So is violence.

  Tupiganie irudi serikali ya Tanganyika ndani ya muungano, hapo hakutakuwa na nafasi ya wazenj kuunda serikali kwetu au kudekezwa.

  Tatizo liko kwetu sio kwa wazanzibari na tunapokwepa wajibu wa kurekebisha kosa letu ,hatuna sababu ya msingi kuwatupia lawama wazenj.

  Sisi wadanganyika tunajitia uchizi tu. Mwishowe tutaishia kuwa machizi kweli.

  Mambo yako wazi kabisa kwa aliye na macho kuona na kwa mwenye kutaka kufikiri.

  Wacha misimamo mikali, mkuu.
   
Loading...