Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tukianza Kuchambua Kila Kona na Kutafuta Raslimali za Nchi Yetu ya Tanzania Unaweza Ukapatwa Butwaa. Nchi Yetu ya Tanzania Iliwepewa Hizi Raslimali ili Ijijenge na Kuwa Nchi Bora Duniani. Wengi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya Pweza 1 wamepata GAS na Sio OIL kama Walivyotarajia Tutapata Mafuta kabla ya Zanzibar na Kenya? DAR-ES-SALAAM, Tanzania -- BG Group has discovered gas with its first deepwater exploration...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
GrEatThinkers, Hivi sasa kila mtu anataka katiba mpya, hapo hapo unajiuliza huyu amekuwa kiongozi muda mrefu mbona sasa nae anashabikia?? Nimegundua kitu kimoja kuwa inawezekana kabisa kuwa Umma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanaofuatilia Uongozi Afrika na Duniani Kote Watakuwa Wamesoma Hawa Mawaziri Watatu wa Kenya Walioshitakiwa Kusabibisha Vifo na Uchochezi Inchini Kenya. Tangu Katiba ya Kenya Ifanyiwe Mabadiliko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanachama wa CCM Mtibwa wanajuta Imeandikwa na John Nditi, Mvomero; Tarehe: 15th December 2010 @ 20:30 WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Mtibwa, Tarafa ya Turiani, Mvomero mkoani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii blog ya michuz kila siku inaweka habari za JK , JK , JK tuuu!! inaboa sasa..!!! Mara JK , kafanya hivi, mara JK atembelewa na flani, mara JK kaenda huku, Mara birthday ya mke wa JK, mara JK...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
FIDIA DOWANS: Wizi uleule, wezi walewale katika suti mpya Na Saed Kubenea - Imechapwa 08 December 2010 Gumzo la Wiki WATUHUMIWA wakuu wa ufisadi nchini wanashangilia. Waliojiita...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MJADALA wa madai ya katiba mpya jana uliendelea kupamba moto wakati Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa alipojitosa kwa kusema kuwa kkatiba mpya inatakiwa kabla mambo hayajaharibika na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mhe Mbunge wa rorya Lameck Airo ametishia kujiuzulu ubunge baada ya mgogoro kuibuka juzi baada ya kamati ya siasa kukata jina la rafiki yake charles Ochele obuto kugombea uenyekiti wa...
0 Reactions
46 Replies
13K Views
The oil giant Shell claimed it had inserted staff into all the main ministries of the Nigerian government, giving it access to politicians' every move in the oil-rich Niger Delta, according...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeitaka serikali kuchukua hatua za haraka kufanya mabadiliko makubwa ya Katiba ya nchi kwa kuwashirikisha wadau wote, vinginevyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Low voter turnout attributed to lack of civic education By The guardian reporter 15th December 2010 The...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanini Serikali inaendelea kukumbatia wakuu wa wilaya na hawana kazi yeyote ile ya kufanya. Si cheo cha kisiasa wala cha kiutendaji ni mvurugano tu ndani ya wilaya kwani huwa ni wasumbufu kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dalili nimeanza kuziona kuwa yapo makundi mblimbali ya watu wanaopigania katiba mpya lakini hofu yangu ni kuwa mjadala huu umeanza kupoteza maana kwani CHADEMA wamekuwa wakiufanya kama mtaji wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
GrEaTtHinkers, Mkoani umeme wenyewe wa shida,kila kitu kiko ubungo vijijini hata bodaboda 97% haziwezi kufika-hamna barabara nzuri Mawilayani watu ni maskini, hakuna biashara kule mafisadi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika wakati huu wa utandawazi, ukweli na uwazi, na wakati ambapo serikali imejikita kutokomeza wizi wa mafedha kwa mtandao, watu kadhaa wamekamatwa na polisi wanaendelea na uchunguzi. kama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
I had the misfortune of reading an article on the English section of ippmedia.com today. It badly hurt my feelings. To let you know what I mean, I will paste it below, with my comments liberally...
0 Reactions
325 Replies
33K Views
Kwa speed hi ya JK kupewa degree za heshima nafikiri very soon atampita marehemu Tumtemeke Sanga aliyekuwa na degree saba. JK: BA UDSM...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba kumekuwa na kelele nyingi kidogo za kutaka tuandike katiba mpya. Kelele hizo zinatoka pande mbalimbali ikiwemo baadhi ya wanachama wa chama tawala. Tumeanza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia mijadala hapa JF inachokihusu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), lakini mijadala hii mara nyingi imekuwa ikiishia kwenye Malumbano, watu kuitana Majina ya Ajabu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…