Pweza proves gas offshore Tanzania and not oil - Kweli tutapata OIL?

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
1,225
Haya Pweza 1 wamepata GAS na Sio OIL kama Walivyotarajia
Tutapata Mafuta kabla ya Zanzibar na Kenya?

DAR-ES-SALAAM, Tanzania -- BG Group has discovered gas with its first deepwater exploration well off Tanzania.
The Pweza-1 well in Block 4, drilled in 1,400 m (4,593 ft) of water, 85 km (53 mi) offshore southern Tanzania, revealed the presence of a working hydrocarbon system after encountering gas-bearing sands.
In May, BG won consent from the government of the United Republic of Tanzania to farm-in to offshore interests held by operator Ophir Energy in Blocks 1, 3, and 4 of the Mafia Deep Offshore Basin and the northern part of the Ruvuma Basin.
Pweza-1 is the first of a three-well program planned for Blocks 1, 3, and 4. Work obligations include the acquisition of 4 000 sq km (1,544 sq mi) of 3D seismic data.
BG has the option to assume operatorship of all three blocks on completion of the initial work program.
 

TzPride

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
2,616
2,000
Baada ya Pweza 1, Chewa 1 nayo ni gas discovery. Usihofu, exploration hapa nchi inefanyika kwa kiwango kidogo sana so far...more efforts, tunaweza discover oil.
 

matawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
2,053
1,195
gas ni dalili ya kuwepo mafuta. Ni sawa na moto na moshi. Anyway hata gas tunaihitaji, weldone
 

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,523
2,000
wa explore makaa ya mawe bana tukaangie chipsi kwa bonge kona bar ,,hayo mafuta hata yakipatikana ni kazi bure
 

Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,603
1,500
Story hii ilitoka mwezi wa 11 tarehe 26, chakusikitisha ni kwamba kwenye hizo block tatu sisi tuna own 12%. BG own 60% then Seismic company own 38% na sisi tuna own 12%. Three years contract was signed.

Ni ngumu kusema kwamba tunaweza kuvuna wese kwa sasa, lakini seismic company iliyotumika ni ndogo sana kufanya tafiti muhimu kwenye kitu kinachoitwa OBC (Ocean Bottom Cable). BG wao wapo kwenye profit sharing, so hawajali sana kwenye kuinvest massive katika Data acquisition.

Niliandika kwa kirefu sana kwa nini Tanzania imeshindwa kuongea na wataalamu wao wa wese ambao ni wabongo wanaoshi nje ya Tanzania?
 

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
1,225
Mtanganyika -- kwahiyo ina maana ni bora tuafikiana na Wataalamu Wazalendo wenye Ujuzi wa Ugunduzi wa Mafuta?

Yona Killaghane ni Managing Director wa Tanzania Petroleum toka mimi nina miaka 5 sasa nina miaka 40 and he's still with the same position

Kwanini tusimbadilishe tuweze kuwa na Wazalendo Wakitaaluma hiyo??
 

Somi

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
1,752
2,000
Ni bora mafuta yasipatikane nchi hii maana yatakuwa chakula cha mafisadi, wananchi hawatanufaika hata na senti moja ya mafuta.
 

Mtemakuni

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
258
195
Hii bongo kwasasa hata hayo mafuta yakipatikana ni kazi bure. Hela yoye itaishia kwa mafisadi. itaendelea tu kuwa maskini kama kule jimbo la delta Nigeria pesa yote inaishia kwenye mikono ya machief(viongozi wa sisiem) na Maigwee( mafisadi). Me naamini yapo, yaache yakae huko ardhini mpaka cku tutakapopata serekali muafaka yatachimbwa tuu tena na wataalamu wetu wa kitanzania ambao hata wamarekani wenyewe hawapendi warudi hata likizo wanaogopa tutawaiba kwa jinsi walivyo ma-expat!
 

Percival

JF-Expert Member
Mar 23, 2010
2,652
2,000
Hao wataalam wazalendo wa utoaji mafuta wametoka wapi ? tangu lini tanzania inatoa mafuta kiasi iwe na wataalamu wake ? kama yupo mtu mmoja au wawili huwezi kuwategemea hao pekee. Utafutaji mafuta unagharimu pesa nyingi sana, na hizo pesa zinalipwa na hawa wanao tafuta haya mafuta ambao wanaweza kupata hasara wasipate mafuta au gesi. Pia mikataba hii ni ya kimataifa yakipatikana mafuta kwa wingi na hawa jamaa wakarudisha gharama zao kuna uwezekano Tanzania itachukua sehemu kubwa. Hakuna nchi leo duniani inafanya mambo pekee bila kushirikiana na wengine au tutaishia ' kuukalia uchumi' huku tunakufa njaa.
 

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,062
0
Oil was discovered way back, what remains is where to extract it profitably. We may have oil in Tanzania but extraction can, at times, be costlier than buying it!
 

TzPride

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
2,616
2,000
Hao wataalam wazalendo wa utoaji mafuta wametoka wapi ? tangu lini tanzania inatoa mafuta kiasi iwe na wataalamu wake ? kama yupo mtu mmoja au wawili huwezi kuwategemea hao pekee. Utafutaji mafuta unagharimu pesa nyingi sana, na hizo pesa zinalipwa na hawa wanao tafuta haya mafuta ambao wanaweza kupata hasara wasipate mafuta au gesi. Pia mikataba hii ni ya kimataifa yakipatikana mafuta kwa wingi na hawa jamaa wakarudisha gharama zao kuna uwezekano Tanzania itachukua sehemu kubwa. Hakuna nchi leo duniani inafanya mambo pekee bila kushirikiana na wengine au tutaishia ' kuukalia uchumi' huku tunakufa njaa.

You said it all! Hapa ndugu umenikonga moyo....kumbe wapo watz wanaoelewa hii habari ya " oil and gas industry"! Safi sana.

Sitii neno maana umesema yote.Kama uko kwenye sekta hii nirushie PM tulonge mkuu.

thanks!
 

TzPride

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
2,616
2,000
Oil was discovered way back, what remains is where to extract it profitably. We may have oil in Tanzania but extraction can, at times, be costlier than buying it!

Ndugu una-argue kizenj! Mafuta yaligunduliwa Tz? lini? na nani? sehemu ipi? Tujuavyo wengi Tz tumegundua gesia asilia tu na si zaidi.

Isije ukaja na yale za ndugu zetu wanajadili mafuta yao yasiwe ya muungano wakati hawajui kama yapo....geological features and some oil shows from previous exploration activities can not make one declare oil discovery in that particular place.....only in Zenj way of thinking the declaration can be made.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom