Dau la kura ya umeya bukoba lilikuwa kati ya 3-5 mil

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,036
265
Huko Bukoba dau la umeya lilifikia 3-5 mil kwa kura. vigogo wakatafutana madiwani we gi wa CCM walifichwa Chato hotelini. Wachache walionekana wakitokea asubuhi ya jana kwa Mh Mbunge na vitita vyao. Hatimaye uchaguzi ukaendeshwa na Mh Anatoli Aman akaibuka kidedea. Ufisadi ni mtindo wa maisha kuukomesha lazima ubadilishe kabisa fikra za watu sijui TAKUKURU wanaweza hilo?
 
Inaonekana wewe pia ni mla rushwa.Takukuru ilisambaza simu zake ili wasamlia wema watoe ripoti pale wanapohisi kuna harufu ya rushwa.sasa wewe unasema baada ya mambo kutendeka au ulinyimwa mwenzetu?
 
Thread hii mimi nimeshindwa kuielewa, kwani inajenga hisia ya kuwa hilo dau la kati ya shs.3-5 milioni zilitolewa na mbunge lakini aliyechaguliwa ni Anatol Amani, hawa wawili wanahusikanaje?
 
Back
Top Bottom