Utawala bora uko icu nauombea quick recovery

bwakea

Member
Jun 5, 2009
45
1
Utawala bora uko ICU nauombea Quick Recovery,
kwenye ajali ya maadili viongozi wetu wamepata Serious Injury (ies),
wanabishana kuhusu katiba mpya kama ndo wako age ya ....,
makusudi wanapindisha ukweli umarekani umewaathili Psychologicaly,
mikataba waloipitisha ndo inawatisha coz ndo wapatapo treasury,
wamerogwa na uchawi wa kizungu wa misaada ya kujengewa School za Nursery,
nchi wameikabidhi kwa waamuzi magharibi na uchina mi nna wory,
ukoloni ni mchief walidanganya kwa vioo nyie mnadanganywa kwa story!!!!,
kwa kivuli cha misaada isiyosaidia bali misaada ya theory,
hawawajengei universities ila wanakurundikia primary.
ili wasomi wasiolimika wawe wachache waelimikao ibaki kuwa history,
kiukweli tupo huru kithioretikali ki vitendo ni pure slavery,
Support katiba mpya mtanzania ili tujitawale,
endelea kuchapa ka imesimama hadi ilale,
usogope kulala gizani ka kuku wa mayai tazama mbele,
one love kwa DJ yusuph mambo mazuri yako mbele kwa mbele.

Written by SYNTAX THE ENG

Source: Joseph Mbilinyi (Face Book)
 
Ili niweze changia ebu edit kwanza. Pale watz dai katiba mpya,msitari ufuatao sijaupenda.
 
Back
Top Bottom