mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,172
- 9,057
Hamu ya wananchi kupata katiba mpya imefikia kiwango cha juu wakati huu tulio nao kuliko wakati wowote ule Ni wakati ambao wananchi wanataka kuweka MUONGOZO Namna ya kuwapata viongozi wao Watakao waongoza kwa ridhaa yao Mipaka na miiko ya viongozi watakaopatikana kwa ridhaa yao na Kuwawajibisha kirahisi wanapokiuka taratibu za uongozi Walizo pangiwa Kuliko ilivyo sasa HIVYO basi kuna watu wasio itakia mema nchi yetu kwa sababu wazijuayo Wao wenyewe lEO BASI Kwa umoja wetu TUMUOMBE MWENYEZI MUNGU kila mtu kwa IMANI YAKE POPOTE ALIPO KWAMBA YEYOTE ATAKAYE CHAKACHUA/KUFISADI UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA MUNGU AMLAANI ANAPO INGIA NA KUTOKA PIA AWE KICHEKESHO KWA KILA MWENYE MWILI AMUONAYE NA WOTE TUSEME AMINA AMINA AMINA!