Ccm wanawasifu ujinga chadema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm wanawasifu ujinga chadema?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tanga kwetu, Dec 14, 2010.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikishangazwa sana na kauli (ninazoweza kuziita kebehi) za washabiki wa CCM humu JF au kwenye chombo kingine chochote cha habari wakiwatuhumu CDM kwa msimamo wao juu ya matokeo yaliyo muweka Kikwete (BA) madarakani. Viongozi wa CDM hususan M/kiti wa Taifa (F. Mbowe) na Katibu Mkuu (Slaa (PhD)) wamefafanua vizuri tena consistently bila kupishana maneno juu ya sababu za kufanya hivyo likiwemo tukio la walkout pale bungeni. Naamini kwa 100% kama Slaa (PhD) (Allah amzidishie hekima) na CDM yake wangetu-pump watu maneno ya kichiochezi wakatio ule wa joto la matokeo, hakika tungekuwa tunazungumza mengine muda huu.....wameamua kutumia njia passive kulalamikia mchakato mzima wa kupatikana kwa 'mshindi' lakini CCM wanawaona CDM wajinga. sasa nafikiri CCM walitaka Slaa (PhD) afanye kama Gbagbo au atuhimize mashabiki wake tuingie mitaani kwa maandamano kupinga votes rigging ya NEC na TISS. naomba CCM muipongeze CDM kwa hekima na uzalendo waliouonyesha hata kutumia passive ways na kukubali maombi ya mabalozi na viongozi wa dini (Islam na Christian) kwamba asisambaze nje documents clear za ushahidi wa uchakachuaji. Hii imetufundisha kwamba next time 'kama mbuai,mbuai'='kama noma,na iwe noma' maana CCM wamekosa staha.....wanaiba then wanaleta nyodo!!!!
   
 2. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  I agree wit u. Had Slaa (PhD) been mgonvi, leo hii tungekuwa tunaesabu maiti. Tusingesita wala kuogopa kuingia mitaan na kudai haki yetu.
  Sisiem wanatakiwa wajue kwamba wataiba kura lakin sio milele. Watatawala kwa ubabe lakin sio milele. Watawahonga kanga na fulana wadanganyika lakin sio milele. Wananchi watavumilia kupokonywa haki yao lakin sio milele. Umma utakubali ufisadi na kuvumilia umasikin na hali ngumu wakiona rasilimali zao zikiporwa na kunufaisha wachache lakin sio milele. Siku moja hawa tunaowaona kama watu watulivu na wenye amani watasema 'hapana. Inatosha.' Watasimama na kudai haki yao. Tz hapatakalika tena.
  Sisiem hamtalazimisha kuutawala umma milele. Kila kitu kina mwisho.
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Dec 14, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Why not now?? hauoni umejichanganya ssns mkuu!!! umesifia kwa CDM kuchukua njia ya peace! lakini umemalizia kwa kusema noma iwe noma, hauoni ume-nullify statement zote za mwanzo na hii kupelekea kuona CDM ni wasanii???

  Maana kwa mwendo huu CCM ni watawala milele! umeona kitu lakini hapo, usije ukasema waberoya mbaya, umeona nakuuliza?? LOL!
   
 4. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  @waberoya. Wewe ndio hujamwelewa mtoa hoja. Kamaanisha NEXT TIME kama mbwai mbwai tu. Kwavile THIS TIME CHADEMA wametumia passive ways CCM wanaleta kebehi na kejeli. So NEXT TIME wakichakachua tu passive ways hazitotumika. Nadhani umempata sasa. Na hii NEXT TIME inategemeana na mchakato mzima wa kuwa na KATIBA MPYA utaendaje.
   
 5. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  ...waberoya...wisemen believe on giving others single chance to make mistakes and correct themselves...wasipoji-correct wana-correct-iwa thus my 'next time' holds. kwa jinsi nilivyoshuhudia physically joto lile la atokeo pale Royola na arusha mjini na mimi binafsi nilivyokuwa tayari kwa lolote, believe me lolote lingewea kutokea kama tu KAULI MOJA YA CDM HQ AU SLAA (PhD). Kumbuka Ivory Coast ilikuwa kimbilio kwa majirani zake 'wakifinyana' lakini within no time ulishuhudia kilichotokea....huko mbali...Kenya, watu walikuwa wanapiga story, within half an hour mapanga,sululu, visu nk. vikaanza kuonja damu za watu so CCM beware we wont be 'peace', calm and fool like this anymore-YOU HAVE MY WORD!
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  Dec 14, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Lakini CCM hawakuanza uchaguzi huu kuiba kura! ndio sijaelewa next time ipi tena 2015, 2020, 2025 au??2050?? maana tumeanza siku nyingi kuibiwa.
   
 7. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  ....kama utakuwa unawaweka kwenye kapu moja kimsisimko watanzania wa 1995, 2000 na 2005 sawa na wa 2010 na wale wa 2015 utakuwa hututendei haki! 2015 itakuwa moto mbaya! chai ya moto kombe la bati!!!! 'save your bullet,use your matchet'!!!!
   
 8. P

  Paul S.S Verified User

  #8
  Dec 14, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Hivi hadi leo bado kuna watu wanaamini dr slaa alishinda?
   
 9. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,035
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Sio tunaamini tu bali tuna uhakika kuwa Dr. (PHD) alishinda
   
 10. K

  Kishili JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 293
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama huamini subiri 2015 kama mgombea wa CCM hatajificha ikulu kama Gbagbo. Ndiyo maana dunia nzima inajua hakushinda lakini JK na serikal yake haijasema lolote kwa vile nao ni kama yeye(Gbagbo)
   
 11. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  ...sio kuamini tu bali kuishia hiyo imani (living the belief). kisheria na kiutawala Kikwete (BA,Pass) ni 'Rahisi' wangu kwa dhati toka moyoni mwangu Slaa (PhD) ndie Rais wangu. Big Respect Slaa (PhD)!!!! Kuna siku Kikwete alitembea ofisini ninapofanya (ofisi ya serikali), alfajiri nikaenda kuchukua sick sheet nikaenda kujaza ED ya siku mbili kukataa kuonana nae maana nahisi ninge-misbehave.
   
 12. N

  Nancy Tweed Senior Member

  #12
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mnapoandika slaa phD, ni bora muwe wakweli na muandike Dr. Slaa phD in theology.
   
 13. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  you are :mad:
   
 14. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mimi ni mmoja wao!!
   
 15. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  CCM haiwezi kufanya siasa za kistaarabu, kwa kuwa huo sio utamaduni wao!!
   
 16. K

  Konaball JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Ameshinda kwa KURA ngapi na % NGAPI
   
 17. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  nancy, are you serious? PhD is PhD regardless descpline. Inafuate mtaala ule ule. Je,umeona wapi mtu anaandika (PhD......)? Bachelor's degree au Master's degree ndio unaweza kuandika kama utataka. Kama unataka tuanze kaunadika PhD,theology sawa tutaandika na nyinyi muandike ya mkwere wenu.
   
Loading...