Kama mimi ningekuwa Zitto Kabwe au Rostam Aziz ninge............ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama mimi ningekuwa Zitto Kabwe au Rostam Aziz ninge............

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Baba Mtu, Dec 16, 2010.

 1. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Nimesoma katika post hii

  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/95475-zitto-ahusishwa-na-rostam-aziz-mwanahalisi-19.html#post1378647


  kuwa gazeti la mwanahalisi linasema kuna maongezi ya mara kwa mara baina ya zitto na rostam. Gazeti hilo limetaja namba zilizotumika katika maongezi hayo kuwa ni
  +255756809535 na rostam +255754555555.
  Kama mimi ningekuwa ni mmoja kati ya hao wawili ningewashitaki mahakamani wamiliki wa kampuni ya simu ya vodacom kwa kutoa habari za maongezi niliyofanya bila kibari.

   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  RA aishitaki tena Vodacom ili iweje? Anyway, kwa upande mmoja wazo lako linaweza kufanya kazi. Kwa upande mwingine, hizi habari zinazotolewa zinatukumbusha ukweli kuwa dunia ya sasa inataka accauntability. Living double standard life would expose us unnecessarily.Haya ya Zitto na RA mbona ni madogo kuliko yale ambayo polisi wa dunia USA anayoyaona yakitokea kwasababu ya wikileaks kutoa habari zao za kijasusi.
  What a changed world! Na ni nani wa kusimamisha hizi changes???
   
Loading...