Ben Mkapa Alirekebisha Baraza La Mawaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ben Mkapa Alirekebisha Baraza La Mawaziri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Dec 16, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Hizi ni za chini chini tu jamani.

  Kama si Mkapa, yule mtoto wa mropokaji angekuwa waziri leo. Mr. Rockerfeller. Sasa analia tu na Malaria Sugu wake.

  Kama si Mkapa tungetangaziwa baraza within expected time. Lakini vipi? Ilichukua 2 weeks. Au nimesahau?

  Anyway.

  Narudia tena. Ni tetesi.

  Kwaherini.
   
 2. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2010
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  We inaonekana lugha inakusumbua, ivi kweli kitu ulichoandika hapo juu kinaweza kuandikwa na mtu mzima mwenye akili timamu. Weka mawazo yako katika hali fasaha watu tuelewe unachokisema.
   
 3. T

  Tofty JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2010
  Joined: Nov 6, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  tetesi lazima iwe na source.......source plz!!
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Sasa si useme tu ni January Makamba...why hitting the bush?..haya tueleze Mkapa alifanya nini huyu nicampoon asiwe waziri?
   
 5. D

  DENYO JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wamezoea kuchakachua kila kitu.
   
Loading...