icc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

icc

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyasatu, Dec 15, 2010.

 1. nyasatu

  nyasatu Member

  #1
  Dec 15, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  six peoples who are said to be impoRTANT kenya figures including journalist,government officials,senior political figure where named as suspects who took part on 2007 kenya post elections violence,nasikia baadhi wako busy kujieleza ktk press conference and maybe some watajitokeza kiri makosa yao mana nasikia kuna evidence ambazo zinaweka wapeleka the hague,baadhi ya majina ya waliotajwa iambao inasemekana wako kwenye list ncludes mtoto wa kenyata etc.

  sasa kwa taarifa hii nimejiuliza je mambo kama haya yatafika lini uku kwetu maana the same group of people who took part in kenya ndo hao hao naowaona hapa kwetu wakileta maafa nabado wanatembea huru na kuzidi toa kauli za nyodo kwa watu.na mtangazaji kamalizia kwa kusema POWER OF PEOPLEEEE,kweli za mwizi arobaini wa kwetu wakae chonjoooooo power of people yaja

  Source:CNN
   
 2. nyasatu

  nyasatu Member

  #2
  Dec 15, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SORRY GUYS,
  Tittle ya post inatakiwa someka as ICC NAMES SUSPECTS...nme post habari nkiwa na haraka
   
 3. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Sasa hayo majina yako wapi?? Ingekuwa vizuri ungeweka na link hapa!!
   
 4. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  watuhumiwa wa vurugu na mauwaji wakati wa uchaguzi 2007 ni hawa:-

  1. Fransis Muthaura - Head of Civil Servant
  2. William Ruto - Ex Agricaltural Minister
  3. Uhuru Kenyatta - Finance Minister
  4. Henry Kosgei - Industial Minister
  5. Hussein Ali [ex IGP wa polisi]
  6. Joshua Arap Sang - Radio Presenter
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu ocampo hovyo kabisa.yaani anawezaje kumuacha mwai kibaki na RAILA kwenye hiyo list kama sio upumbavu..hili zee nalo ni lijizi tu
   
 6. nyasatu

  nyasatu Member

  #6
  Dec 16, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks kw ahii list ulipotaja uyo rasio presenter nmemkumbuka yule jamaa wa clouds aliekua akitajwa tajwa sanaaa kumshabia JK,ikiwemo na TBC etc,na ktk iyo sekta ya police najua wanausalama kadhaa wahakosi humo
   
Loading...