Sokomoko
JF-Expert Member
- Mar 29, 2008
- 1,915
- 1,195
WanaJF, Habari zenu na poleni na majukumu ya kila siku, nimejaribu kupia hizi picha lakini sipati maana zinazojitosheleza naomba kama mtu anaweza kunipa ujumbe wa picha hizi maana they say a picture can say 1000 words. Jukwaa ni lenu...............
Mie naona zinaonyesha utaifa, umoja, upendo na Mshikamano. Hivyo ndio mimi naona. Watanzania ni wamoja na tofauti zetu ni kiitikadi.
wat r u implying? hatuna upinzani hasa?
I am not implying anything I just want you to give a comment on those picture.....To me upinzani unajengwa na hoja na sio chuki kama wengi wetu wanavyoona. Kwahiyo unaweza kutoa ujumbe kwenye hizo picha? Kama huwezi basi!
Chapakazi Upinzani sio kupigana na kununiana.hao jamaa wakicheka sio mbaya.
Zimefotolewa siku na mzingira tofautitufauti kwa hivyo hakuna jipya....zingekuwa zote ni za siku moja kama ya kutangaza matokeo ya uchaguzi tungezijadili vizuri
a lot! to mbowe & slaa..personal friends, different thinking. to pinda, seems like slaa is telling him that the he is in the wrong squad. pinda reply that i am just like you guys... i am not a fisadi! slaa says why not joiining us? lipumba..unafiki.
wanajf, habari zenu na poleni na majukumu ya kila siku, nimejaribu kupia hizi picha lakini sipati maana zinazojitosheleza naomba kama mtu anaweza kunipa ujumbe wa picha hizi maana they say a picture can say 1000 words. Jukwaa ni lenu...............
wala sio hivyo unavyofikiria ni undugu wa kawaida tulionao watz
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us