Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwita kada wa chadema na mtatiro naibu katibu cuf wapo live channel ten 'BALAGUMU' mada.ushirikiano vyama vya upinzani bungeni. Mwita anasema ni vigumu kushirikiana.1 cuf ni sehemu ya serikali.2...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Pamoja na wananchi kukaa kimya kwa muda mrefu na kumwacha Mh Hamad Rashid kujitia kuwa yeye ndiyo msafi kuliko wengine wote asifikiri kuwa watu hawamjui tamaa yake inayomshinda Fisi, Bwana Hamad...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
5. Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana. 6. Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanza kabisa natoa pongezi nyingi kwenu kwa kuchaguliwa au kuteuliwa ili muweze kutetea maslahi ya wananchi wote wenye itikadi mbalimbali. Baada ya wananchi kuridhishwa na kazi iliyofanywa na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Closed
Nimejaribu kuchunguza upepo wa kisiasa tanzania na kusoma nyakati then nimegundua mambo yafuatayo: Kuna uwezekano mkubwa kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 hautafanyika kukiwa na tanzania...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sasa hivi hasira ya Watanganyika ni kubwa juu ya Hamad, Mzanzibari aliyeamua kushirikiana na CCM kuzuia mabadiliko yoyote ambayo watanganyika wanayataka katika Taifa lao. Ukweli ni kuwa vyama...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
napenda kuwasihi wanachadema kuwa wavumilivu na kuonyesha ukomavu zaidi katika kipindi hiki muhimu kwani mafisadi wanakaza uzi zaidi kwa kuwa wameshikilia mpini na wameisha wanunua wanaojiuza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wabunge wa CCM siwaelewi kwa mambo yafuatayo: 1. Wanapoteza muda mwingi kujadili suala la wabunge wa Chadema kususia hotuba ya rais siku ya uzinduzi wa bunge la 10. Wenzetu wanachadema wametoka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mbunge wa chadema Wanje akiongea kwa ujasiri uku akiwa na takwimu bila kuongopa akisema Kikwete ajafanya chochote na hatutaweza kumkumbuka. Wana JF nampongeza Wanje kwa kusema hayo
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jana tarehe 08/02/2011 ni siku ambayo mimi na familia yangu tulifurahia jambo lililotokea Katika Bunge. Ni Jambo linaloumiza lakini ni jambo ambalo linafariji na Kutia hasira vile vile. Naona kuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia Mjadala wa Bunge, kitu kilichoonekana ni kwamba CCM wameumia sana.
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Viongozi wa Muda wa TAwi na Viongozi wa Shina no 1 Houston, Texas Katibu wa Tawi wa Muda akimpongeza Mwenyekiti wa shina no 1 Houston Cassias Pambamaji mara tu baada ya ufunguzi wa shina hilo...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Tunamefurahi kupata wabunge vijana, na haya yalikua maandalizi sio bahati nasibu, lakini tuna sikitika kuona kwamba wabunge hawa vijana hawana uwezo wakuchanganua mambo.kufikiria, na hawana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu watanzania na wana JF wenzangu, kwa masikitiko makubwa napenda kuwajulisha habari ya msiba wa Prof. Daimon Mwaga aliyefariki jana usiku 8/2/2011 jijini Dar es salaam. Marehemu alikuwa...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Nashukuru nimesoma nakala ya hukumu ya mahakama ya kimataifa kuhusu suala la DOWANS vs TANESCO. Hadi sasa nipo katika kipengere cha 337 lakini nimeshangazwa namna nchi yetu ilivyoharibika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimewasikiliza hawa wabunge jana wakiongea kama wabunge wa CCM. Hamadi Rashid anasema eti Spika ametupatia ushauri mzuri wabunge wa upinzani. Cheyo naye anasema eti siasa za nchi isitawalike. Sasa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Haitulii akilini kwangu kabisa! Wabunge CCM kushangilia CUF? Halafu CUF kinajiita chama cha upinzani? Bila kubebwa na njama za CCM kutoa tafsiri mpya ya kukubali hoja ya tafsiri mpya ya kanunu CUF...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu bila shaka kwa wanaongalia bunge linaloendelea Dodoma utaona tofauti kubwa iliyopo kati ya wabunge wa CHADEMA na wale wa CCM, wa CHADEMA ni great thinkers na wenye mapenzi ya dhati na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imefika stage ya kujiuliza objectively; haya ya kugomagoma na kutoka nje na kurudi ndani ya bunge; kukanusha kumtambua kiongozi aliyeapishwa na kutambulika kikatiba; je, huu ni ulafi wa madaraka...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Unaweza ukashangaa huu uswahiba wa CCM na CUF. Kiuwkeli inaonekana sio sababu CUF ni rafiki ya CCM, bali sababu CUF ni adui ya CDM (Adui ya adui yako ni rafiki yako). Sasa kama kweli CCM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom