Mkakati wa kupata bunge makini 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkakati wa kupata bunge makini 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilipamwao, Feb 9, 2011.

 1. Chilipamwao

  Chilipamwao JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 514
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu bila shaka kwa wanaongalia bunge linaloendelea Dodoma utaona tofauti kubwa iliyopo kati ya wabunge wa CHADEMA na wale wa CCM, wa CHADEMA ni great thinkers na wenye mapenzi ya dhati na nchi yao. Lakini wa CCM kazi yao ni kupongeza hotba ya Raisi huyuhuyu, hahaha hii hatari yaani wanaupongeza ukasuku wake, mwongeaji mzuri lakini mtendaji mbovu zaidi wa nafasi yake katika karne hii.
  Je Tutafika?

  ninaomba kila mwenye mapenzi na nchi hii na kijana makini tuanze mikakati mbalimbali ya kuhakikisha CCM haipati madaraka kwa kuwa kwa sumu ya uchama waliyonyweshwa wako tayari kuunga hoja hata kama hawaipendi.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  NGUVU YA UMMA TUNAKUJA KUWATOLEENI MAAMUZI MAZURI ZAIDI KWENYE KILA SWALA LA GHILIBA FITINA NA USALITI WOWOTE UTAKAOTOKEA HAPO BUNGENI WALA MSIWE NA WASIWASI; MACHO YOTE KWENU

  [​IMG]
   
Loading...