Migomo CHADEMA Bungeni: Ulafi wa Madaraka au Demokrasi katika Ubora Wake!!?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migomo CHADEMA Bungeni: Ulafi wa Madaraka au Demokrasi katika Ubora Wake!!??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Elifasi, Feb 9, 2011.

 1. E

  Elifasi Senior Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imefika stage ya kujiuliza objectively; haya ya kugomagoma na kutoka nje na kurudi ndani ya bunge; kukanusha kumtambua kiongozi aliyeapishwa na kutambulika kikatiba; je, huu ni ulafi wa madaraka? Ni staki nataka? Au ni njia ya kinyonge ya kudai haki? Au ndio demokrasia na maendeleo yenyewe? Kwa maslahi ya nani? Nadhani inaanza kututatiza... Au inatia moyo kuelekea Tunisia/Ijipta!!!
   
 2. n

  niweze JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yeah tunawajinga kama wewe wachache Tanzania. Nyie ndio mnafanya hii nchi kuwaongozwa na vichaa kama nyie. Kazi ni ubinafsi, dharau, wizi, ulaji...unafikiri sifa za ccm kuna mtanzania hajui...unataka kufanananisha Chadema na CCM. Lini Chadema walikuwa madarakani? Wewe mpaka leo unamaendelea gani binafsi? Kama sio ufisadi na connections zimekusadia...Watoto wa mafisadi nyie. Hawa mtoto wamewakosea nini? au Chadema ilisababisha?
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Unamtumikia nani?....Nyie watu wa inayoitwa sistimu ni vibaraka wakubwa...sielewi iweje utumikie tumbo badala ya kiapo chako cha kulinda maslahi ya umma!...Kwanini mtu na akili zako usione maana ya matendo yale na upeleke akili zako kwenye vitisho vya Somalia?..Kwa taarifa yako mnaoogopa mambo ya Somalia ni nyinyi mnaohodhi dola, wengine wanaona ni BORA SANA HALI HIYO ITOKEE!..kweeeeeek!
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kuna thread ulileta ukilalama lalama kuhusu who is a great thinker.... ninapata ushawishi kuamini kuwa..... you are neither a great thinker...pia unaonyesha una kitu fulani kinachohusiana na hofu fulani ...
   
 5. n

  niweze JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Rostam kakulipa Dowans ngapi kuleta ujinga kama huu? Msaliti wewe...
   
 6. B

  Balozi mullar Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni ulafi na uroho wa madaraka.chadema wako desperate na chama kitakufa ndani ya miaka mitano
   
 7. baina

  baina JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashauri tusiwe tunareply post za kipumbavu kama hizi, na ikibidi watu kama hawa tuwaban.
   
 8. Mwadui

  Mwadui Senior Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sikutegemea senior member ungeleta thread ovyo kama hii, acha kuturudisha nyuma wewe tuna manbo mengi ya kufanya,nani mroho wa madaraka kati ya hamad ambae amekuwa kiongozi wa upinzani kwa zaid ya miaka kumi na bado anakomaa kuendelea?
   
 9. Mwadui

  Mwadui Senior Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wewe jamaa nakushauri uhamie facebook utakutana na wenzio huko!
   
 10. n

  niweze JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na wewe utakufa lini kama CDM ikifa?
   
 11. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  Lazima utakuwa hujatumia akili ulipokuwa unaandika haya................... LAZIMA UTAKUWA UMETUMIA KIUNGO KINGINE CHA MWILI WAKO
   
 12. E

  Elifasi Senior Member

  #12
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aaaaaaah, JIBU HOJA-PANA EITHER A OR B. umelalama tu kama wenzako mnaokaa pembeni mkilalamika wakati hayo unayolalamikia hayatafutiwi suluhisho. Matusi ya nini? jibu hoja kwa hoja, jazba ya nin? kama sio ulafi wa madaraka, basi jibu upande wa pili wa hoja? Is it demokrasia katika ubora wake?

  kuwa mwana mapinduzi kubahitaji ujasiri wa kukabiliana na sio uoga wa kuwa challenged! UNA TOFAUTI GANI NA JANUARY MAKAMBA AU UVCCM WANAOVAA VIATU KM VYA CHADEMA KUPINGA UFISADI WAKATI TUNAJUA WANATETEA MASLAHI YA HAOHAO WALAJI? JIBU HOJA BWANA ACHA KUBWABWAJA!
   
 13. f

  freddielly Member

  #13
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  something is terribly wrong with you, nahisi umetumwa wewe !!!!
   
 14. E

  Elifasi Senior Member

  #14
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ... Jibu hoja, kama sio madaraka, toa hoja ya kuwaaminisha wapiga kura wa 2015 kwamba wanachofanya ni kitendo cha kijasiri cha kidemokrasia. Take time to understand hoja. Thinking is not limited to being affiliated to the ruler or the ruled, the leader or the led. Thinking is endless thinking of options not being dumb even when you need to listen!!
   
 15. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #15
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Nachelea kukujibu ila ngoja tuone je wanamapinduzi CDM watakubali kufungishwa ndoa ya lazima na kufanya kazi wale wasiowataka? Ina heshimu maamuzi ya CDM ku walk out nadhani hawakuwa na njia mbadala kuonyesha hawaridhii na kitendo cha kuwekwa mazingira ya wao kufanya kazi na watu wasiowataka! Naamini watatujulisha maamuzi yao baada ya kutoka bungeni na si lazima kuyakubali ikiwa hukuyapenda kwani kila mtu ana maamuzi yake anaona yana mfaa ikawa wewe hayakufai.
   
 16. E

  Elifasi Senior Member

  #16
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ..unanikumbusha stori za enzi za wafalme na watwana.....waliokua wanapenda kusikia mazuri tu toka kwa watwana wao, na popote litakalo semwa lisilopenda kuskiwa kwa maskio yao, basi waliamrisha watwana hao wauwawe... ULIKUA HUJAZALIWA ENZI HIZO. UMEKUJA DUNIANI WAKATI MBAYA WA DOT COM. Lakini, narudia kauli niipendayo... KUWA JASIRI SIO KUOGOPA KUKUTANA NA ADUI.. BALI NI KUKABILIANA NAE-KAMA NI MBABE BASI MAMBO YA NGUMI; KAMA NI SIASA BASI HOJA KWA HOJA. HILI NI JUKWAA LA SIASA SI JUKWAA LA CHADEMA. AU? LEARN TO GIVE A RELEVANT ANSWER TO A RELEVANT QUESTION!
   
 17. FarLeftist

  FarLeftist JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  a) Kugoma au kususia ni njia moja ya kidemokrasia ya kudai haki pale ambapo haki inashindikana kupatikana kwa njia nyingine
  b) kugoma au kususia jambo baada ya njia nyingine kushindikana ni namna moja ya kuwawakilisha wananchi wanaoonewa kuweza kuamka na kutambua haki zao kwa manufaa yao
  c) Haitakiwi kukutatiza kwa kuwa haki hudaiwa na sio kuombwa
   
 18. loveness love

  loveness love Senior Member

  #18
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mhhhh sasa unashauri nini? toa usahauri ndugu yangu tuufanyie mambo au vipi?
   
 19. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nani kagoma?Kutoka nje au kurudi bungeni si tatizo kwani umeambiwa watu wanatakiwa walale mule?Wewe unaonekana ni kati ya watanzania ambao hawajui maana halisi ya haki na wajibu wao kama wananchi ndio maana umefikia kuleta hoja ambazo hazina msingi .
   
 20. n

  niweze JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hoja ni ipi? Ulichoongea au ni Dowans? Mbona wewe mtanzania huna cha kuongea? Majibu gani unataka...Hujui CDM kutota nje ni kutetea hao watoto ktk picha au unataka majibu gani. AU hukufundishwa jinsi ya kusoma message kutumia picha? Jamani jamani...tutawasaidieni nini nyie? You don't have to write anything or explanations zozote zile. CDM wanataka haki ya kutetea Taifa na Haki wanayo = Viti 70 bungeni or (CDM = wananchi - NEC) siju kama umepata hii maths...
   
Loading...