Prof. Daimon Mwaga katutoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Daimon Mwaga katutoka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Indume Yene, Feb 9, 2011.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ndugu watanzania na wana JF wenzangu, kwa masikitiko makubwa napenda kuwajulisha habari ya msiba wa Prof. Daimon Mwaga aliyefariki jana usiku 8/2/2011 jijini Dar es salaam. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na moja ya body organs.

  Marehemu aliwahi kuwa mbunge wa Kibakwe (Dodoma) kabla ya kushindwa kwenye kura za maoni (2005) na Mh. Simbachawene. Baadaye alijiunga na chuo kikuu cha St. John kilichoko Dodoma. Hadi mauti inamfika Prof. Mwaga alikuwa Deputy Vice Chancellor (Academics).

  Poleni familia (mmoja wa wanae ni memba hapa).
  Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
  Amina.

  Naamini hili jukwaa ni mahala pake kwa sababu marehemu aliwahi kuwa mwanasiasa.
  Nataarifisha.
   
 2. Single D

  Single D JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 459
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Burian prof
  wanafamilia poleni kwa kuondokewa na kiongozi
   
 3. papason

  papason JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  R.I.P Prof Daimon Mwaga, nawapa pole sana wafiwa
   
 4. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  RIP

  watanzania sote tuwe pole kwa kupoteza msomi ambaye analisaidia taifa
   
 5. J

  JokaKuu Platinum Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,751
  Likes Received: 4,974
  Trophy Points: 280
  r.i.p Prof.

  pole kwa familia, ndugu,jamaa, na marafiki.
   
 6. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  Mungu amlaze pema prof. poleni familia na watanzania woote kwa ujumla kwa kumpoteza msomi huyo.
   
 7. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Duh poleni wafiwa
   
 8. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  RIP Prof poleni ndugu na jamaa wa marehemu.
   
 9. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  R.I.P Prof. Daimon... daima utakumbukwa kwa mema yote uloitendea nchi hii!!!
   
 10. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Pole wafiwa wote.
   
 11. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Poleni sana wafiwa
   
Loading...