Nguvu ya umma muonyeshe ukomavu hiki ndio kipindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nguvu ya umma muonyeshe ukomavu hiki ndio kipindi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mazee, Feb 9, 2011.

 1. Mazee

  Mazee Senior Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 6, 2007
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  napenda kuwasihi wanachadema kuwa wavumilivu na kuonyesha ukomavu zaidi katika kipindi hiki muhimu kwani mafisadi wanakaza uzi zaidi kwa kuwa wameshikilia mpini na wameisha wanunua wanaojiuza wengine kutoka tlpnccrdp et cetera na bi mkubwa wao caf

  tafadhali nawaomba hiyo mipasho yao iliyoanza nyie msiiendekeze kabisa muwaache waendelee kushukuru na kutoa mipasho lakini nyie toeni hoja constructive bila ya woga wa kuona mafisi watasema nini
  tunawategemea bombard them with strong issues.....

  Viva la chadema........
   
 2. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  CUFNCCRTLPDP For sale
   
 3. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wao wana pesa alafu wako kidogo,sisi tuna mungu alafu tuko wengi
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mbele kwa mbele: hakuna kurudi nyuma
   
 5. c

  chelenje JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chadema for life
   
Loading...