CHADEMA Kutoka Nje: CCM Imeumia sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Kutoka Nje: CCM Imeumia sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Albedo, Feb 9, 2011.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nimekuwa nikifuatilia Mjadala wa Bunge, kitu kilichoonekana ni kwamba CCM wameumia sana.
   
 2. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni kweli kabisa. Na hii imethibitishwa na reaction waliyoonesha ccm na wake zao (cuf) pamoja na vimada wao (nccr na tlp-mrema). Kwa kitendo chao cha kuwazomea waheshimiwa wabunge wa chadema, inaonesha suala hilo limewauma sana ccm na mabibi zao.

  Sababu za kuumia ni kuwa chadema wameleta attention kubwa sana ya umma kwani hata umma haujaridhishwa na ukanyagwaji wa demokrasia uliofanywa na mafisadi ccm, hivyo umma kuwapongeza na kuwaunga mkono chadema.
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wanatfuta media attention siyo mbaya embu tuone itawasaidi kiasi gani 2015!

  Msisahau lakinimaana nynyi hapa JF kwa kusahau ni mabingwa
   
 4. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mlisema hivi hivi walipomgomea JK, Mkasema mtawafukuza Bungeni sasa Wananchi wanaelewa kwamba Hamuwezi kuwafukuza Bungeni
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  NGUVU YA UMMA TUNAKUJA KUWATOLEENI MAAMUZI MAZURI ZAIDI KWENYE KILA SWALA LA GHILIBA FITINA NA USALITI WOWOTE UTAKAOTOKEA HAPO BUNGENI WALA MSIWE NA WASIWASI; MACHO YOTE KWENU

  [​IMG]
   
 6. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mwenye mtindio wa ubongo tutamkumbusha
   
 7. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Topical,nchi haiwezi kuendelea kwa bunge kujadiri wenzao na kupöngezana,ni upuuzi,kutoka ni haki yao cc wapiga kura tutaamua,bungeni co kanisan au msikitini ni sehmu ya misimamo na ndio maana mabunge mengne na ngumi zipo m2 hawezi kukubali upumbafu uliofanywa na vilaza wa ccm
   
 8. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Unajua last Week makinda alinukuliwa kwamba CHADEMA ina haki ya Kuunda kambi Rasmi ya Upinzani, sasa Wananchi wanauliza Ina Maana Makinda alikuwa anazungumzia kitu ambacho Hakifahamu?
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Effect ya Hili jambo kwa CCM itaonekana Baada ya Kikao cha bunge naamini CDM watazunguka Nchi nzima sasa Reception ya Wananchi itawasuprise sana CCM KWA UJUMLA
   
 10. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yeah, we need a vibrant, truely democratic and transparent parliament in Tanzania which is in the best interest of every one, not the few who favor themselves in the parliament!
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Bado chadema wana haki ya kuunda kambi bila kumshirikisha yoyote kutoka chama chochote na ndiyo ilivyo...
   
 12. D

  Deo JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 1,191
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Labda siyo sehemu sahihi lakini sikuwa kwenye mtandando. Naipongeza sana Chadema kwa kuonyesha hisia zao. Tunawaunga mkono kwa dhati kabisa. Hii ndiyo sauti ya watu. Sisiem inakazana kudidimiza haki lakini iko siku haki itasimama, nayo iendelee hivyo hivyo kutumia misuli yake kufikia malengo yake kwa gharama yeyote na kuwatosa walio wafikisha hapo. Hogera sisiem kwa kuwatosa kafulialia na hamadi mwana wa rashidi
   
 13. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  You are verily obsessed with madness and parochialism! If we have several kinds of the same brains like this in the country, indeed we will lag behind to develop
   
 14. k

  kigumu twawala Member

  #14
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lazima iwaume wao karibu wote hawajiamini, wamelelewa mambo yote ni ndio mzee sasa wakiona siasa za kisasa zinavyoendeshwa wanabaki kukosoa wanasahau wananchi walicho watuma, kwa uwakilishi huu na wakishindwa kubadilika kuendana na wakati watazidi kupungua humo mjengoni.
   
 15. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa namsikiliza Mbunge mmoja anaitwa Asumpta, Yule mama Kama angekuwa na bastola naamini kabisa angeweza kumfyatulia Mbunge yetote wa CHADEMA, CCM Donge limewakaa wanabaki Kuleta Vijembe.
   
 16. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  .
  Hivi katiba mpya ilikuwa kwenye ilani ya chama tawala?
  Pressure ikiwa kubwa some times timu pinzani hujifunga goli katika harakati za kuokoa.
  .
   
 17. k

  kigumu twawala Member

  #17
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hii kweli, tena tuseme hivi capt wa timu kaokolea mpira golini kwake, na kwa vile wamejifunga wenyewe hawajui kuwa ndio wamefungwa hivyo.
   
 18. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ila Kinachonifurahisha CCM huwa wanashindwa kabisa Kuonesha Disapointment zao ndio maana Tukaanza kuwasikia Wadada wa "Leo Tena" wakitoa Vibwagizo ambavyo vilikuwa vinawakera Wakongwe akina Sita
   
 19. L

  Leornado JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Chadema wasingetoka nnje badala yake walianzishe manake wazee wa CCM wana mdomo sana na vitendo hakuna...

  cheki wanaigeria wao ni kichapo tu hakuna kuchekeana kubembelaza au kutoka toka nje..

  cheki hapa
  YouTube - Nigerian Lawmakers in free-for-all fight
   
 20. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hivi nyie wote wana JF mna mtindio wa akili? CDM ni wabinafsi na wachoyo na waroho wa madaraka. Hivi ingelikuwa wamepata ridhaa ya watanzania ya kutawala nchi. Hawa CDM inaonesha kama wangelipiga marufuku vyama vingi ili wabaki wao peke yao na uchoyo wao wa madaraka. Hawafai.
   
Loading...