Kwa wasiomjua mh. Hamad rashid (mb)

Burigi

Member
Jan 11, 2011
45
81
Pamoja na wananchi kukaa kimya kwa muda mrefu na kumwacha Mh Hamad Rashid kujitia kuwa yeye ndiyo msafi kuliko wengine wote asifikiri kuwa watu hawamjui tamaa yake inayomshinda Fisi, Bwana Hamad amekuwa na tabia ya ubinafsi wa kutisha kuliko ule anao usema kwa wenzake na hata hufikia kudhuru na kuumiza watu anapotaka jambo lake litimie, Bwana Hamad uroho wake hauwezi lingaanishwa na yoyote hapa nchini kwa sisi tunaomjua narudia hufikia kudhuru hadi kuumiza iwapo anataka matakwa yake yakamilike, wananchi wanafahamu wakati akiwa yeye na wabunge majority hakukumbuka kubadilisha kanunu za bunge sababu alipenda uheshimiwa na marupurupu ya mkuu wa kambi ya upinzani choyo chake hataki kuona mwingine yupo juu yake, lakini hii leo siyo issue.
nilitaka mumuelewa Hamadi kama afuatavyo Hamadi leo hii ni mkurugenzi wa kampuni ya TALKTEL COMMUNICATIONS LTD lakini mnajua aliipataje nafasi ya ukurugenzi wakati yeye si mwasisi wa kampuni hii , Mpwa wa Hamadi aliingia talktel kama partner through local partners kwa mapenzi ya undugu alimwita Hamadi kuingia mule ndani kwa ajili ya influence ya kiserikali na kusaidia mambo fulani fulani ya PR na wakubwa lakini ilikuwa wameingiza jini baada ya hamadi kupewa kiti mle ndani alianza kuwashawishi local partner waasi ili waweze kupora hiyo kampuni kwani share alizokuwa nazo mpwa wake aliona hazitoshi alitaka zaidi nataka kuelezea ni jinsi gani asivyolidhika aliwashawishi local partner wagomee shares walizonazo lakini wale wamarekani walikataa walipokataa Bwana hamadi alianza kuwatesa na kuwafungulia kesi kila siku na kuwapeleka immigration na kuwasiliana na polisi ili wakimbie nchi mbinu za kizamani kabisa hakuangalia hata heshima ya nchi kwa wageni yeye aliona masilahi yake tu mbele ni mtu hatari kwelikweli alivuruga kampuni na mipango yake yote hadi watu wenye idea ya mradi wakasambaratika na kubakia ombaomba hapa mjini lakini yeye akiwa amebakia na kampuni hapa mjini kampuni hii hivi sasa ina operate kutokea ofisini kwake kule maeneo ya lugalo golf club ambapo mheshimiwa anaishi humohumo huyu ndiyo MH .Hamad Rashidi Aanewaambia wenzake wabinafsi wakati wakiwa wamesimama mbele ya haki, na jua huyu bwana ni mbishi lakini akibisha haya tutaweka ushahidi mwingi wa kutosha na jinsi alivyohusika uporaji wa kampuni bwana huyu hakuishia kuwafukuza investors tu, leo hii katika kundi lao la local shareholders wapatao 8 waliopora kampuni ameishakorofishana na wote wamebaki wachache nasikia hata mpwawe aliemkaribisha naye katimka leo hii yeye ndiyo mwenyekiti wa Talktel communication ltd shame on you Hamadi. Aibu zako ni kubwa kitaifa na kimataifa unaweza kupora kampuni lakini siyo haki ya watanzania wote iliyopo kihalali kwa ajili ya kutimiza matakwa yako wenye nchi hii hawatakukubalia wewe ni chui ndani ya ngozi ya kondoo .
NAOMBA KUWAKILISHA
 
Mmmh! Ndo mana wakat mwngne naogopa siasa.. Km taarifa hz ni za kwel, bas huyu jamaa hafai.. Ntamfatilia! Ila tupe more info.
 
naomba wenye uwezo muimagnify hii story na muiweke kwenye magazeti ili watanzania wote wajue
 
Wakati akiwa CCM aliwahi kuwa naibu waziri ktk serikali ya muungano, kwa kutumia nafasi yake alipora mke wa mtu hapo ilala sharif shamba.
 
He kumbe huyo ndo Hamad? Tafadhari usiache hata chembe ya ukweli weka habari zake zote ili watanzania wamfahamu mtu huyu. Lakini usimuonee au kumfanyia fitina, ukweli ubaki kuwa ukweli.
 
Pamoja na wananchi kukaa kimya kwa muda mrefu na kumwacha Mh Hamad Rashid kujitia kuwa yeye ndiyo msafi kuliko wengine wote asifikiri kuwa watu hawamjui tamaa yake inayomshinda Fisi, Bwana Hamad amekuwa na tabia ya ubinafsi wa kutisha kuliko ule anao usema kwa wenzake na hata hufikia kudhuru na kuumiza watu anapotaka jambo lake litimie, Bwana Hamad uroho wake hauwezi lingaanishwa na yoyote hapa nchini kwa sisi tunaomjua narudia hufikia kudhuru hadi kuumiza iwapo anataka matakwa yake yakamilike, wananchi wanafahamu wakati akiwa yeye na wabunge majority hakukumbuka kubadilisha kanunu za bunge sababu alipenda uheshimiwa na marupurupu ya mkuu wa kambi ya upinzani choyo chake hataki kuona mwingine yupo juu yake, lakini hii leo siyo issue.
nilitaka mumuelewa Hamadi kama afuatavyo Hamadi leo hii ni mkurugenzi wa kampuni ya TALKTEL COMMUNICATIONS LTD lakini mnajua aliipataje nafasi ya ukurugenzi wakati yeye si mwasisi wa kampuni hii , Mpwa wa Hamadi aliingia talktel kama partner through local partners kwa mapenzi ya undugu alimwita Hamadi kuingia mule ndani kwa ajili ya influence ya kiserikali na kusaidia mambo fulani fulani ya PR na wakubwa lakini ilikuwa wameingiza jini baada ya hamadi kupewa kiti mle ndani alianza kuwashawishi local partner waasi ili waweze kupora hiyo kampuni kwani share alizokuwa nazo mpwa wake aliona hazitoshi alitaka zaidi nataka kuelezea ni jinsi gani asivyolidhika aliwashawishi local partner wagomee shares walizonazo lakini wale wamarekani walikataa walipokataa Bwana hamadi alianza kuwatesa na kuwafungulia kesi kila siku na kuwapeleka immigration na kuwasiliana na polisi ili wakimbie nchi mbinu za kizamani kabisa hakuangalia hata heshima ya nchi kwa wageni yeye aliona masilahi yake tu mbele ni mtu hatari kwelikweli alivuruga kampuni na mipango yake yote hadi watu wenye idea ya mradi wakasambaratika na kubakia ombaomba hapa mjini lakini yeye akiwa amebakia na kampuni hapa mjini kampuni hii hivi sasa ina operate kutokea ofisini kwake kule maeneo ya lugalo golf club ambapo mheshimiwa anaishi humohumo huyu ndiyo MH .Hamad Rashidi Aanewaambia wenzake wabinafsi wakati wakiwa wamesimama mbele ya haki, na jua huyu bwana ni mbishi lakini akibisha haya tutaweka ushahidi mwingi wa kutosha na jinsi alivyohusika uporaji wa kampuni bwana huyu hakuishia kuwafukuza investors tu, leo hii katika kundi lao la local shareholders wapatao 8 waliopora kampuni ameishakorofishana na wote wamebaki wachache nasikia hata mpwawe aliemkaribisha naye katimka leo hii yeye ndiyo mwenyekiti wa Talktel communication ltd shame on you Hamadi. Aibu zako ni kubwa kitaifa na kimataifa unaweza kupora kampuni lakini siyo haki ya watanzania wote iliyopo kihalali kwa ajili ya kutimiza matakwa yako wenye nchi hii hawatakukubalia wewe ni chui ndani ya ngozi ya kondoo .
NAOMBA KUWAKILISHA

Tuondolee upupu wako hapa haya mambo yake binafsi na biashara zake yanahusu nini, hii ni sawa na ujinga wa kusema mbowe na biasharazake mara hivi mara vile au kumsema slaa na uliokuwa upadri wake na ccbrt.
Lete hoja acha majungu ndungu yangu
 
Mkuu mleta mada nashindwa kuelewa source ya mada yako as kuna sehemu nimesoma "nasikia" nakushauri usipende maneno ya kusikia na ni bora uwe na uhakika. Mimi namfahamu mhe na nimeshitushwa na hiyo habari ulivyoiandika lakini madhali unasikia basi nakusihi ingekuwa umefanya jambo la maana sana baada ya kusikia ungetafuta ukweli kisha ukatuletea habari kamali.

Pia kwenye suala la ubinafsi nadhani umejikanyaga kidogo wahawa CUF hoja yao haikuwa ubinafsi bali washirikishwe tena si wao peke yao na wenzao pengine nadhani kama ni ubinafsi ulikuwa unaamanisha mtu mwingine na sio Hamad Rashid ambae yeye kushirikiana hataki. Kukataa ushirikiano ndio ubinafsi kaka.

siku zote huwa napinga hizi hoja especial za mtu kusema yeye ni mtu hatari sana na anaweza hata kuua au kudhuru, ingekuwa ni vema ungetoa mfano mmoja wa alieuwawa au kufa kwenye mazingira ya kutatanisha kama yake ya Chacha Wangwe then uyahusishe na Me Hamad Rashid au kama kuna mtu alidhurika. Kuna maneno mengi yalisemwa kuhusu kifo cha Wangwe lakini sitaki watu waamini maneno ya kizushi na kuchafuana kwa kupakana matope. Wanaadam tumeumbiwa uhai na kifo ikifika ahadi yetu tutakufa na vifo vyetu vitatokea kwa mapenzi ya Mungu tu. Tafadhali ndugu zanguni tusipende kujadili sana maswala tusiyoyajua hayaleti elimu ya maana kwani inakuwa ni dhana juu ya dhana na tunahangaika kushughulia nadharia huku tunadidimia.

Tuamke tufungue macho tujue nini tunataka na sio nini wanasiasa wanataka.
 
Kanuni moja ambayo Hamadi ameisahau ni kambi ya wabunge wa muafaka. Mambo ya madhambi yake labda ameshatubu, lakini hili la kutumiwa kuvunja upinzani amekwisha. At least Kafulula na Cheyo wanakitu cha kuzungumza lakini sio CUF. Tena napendekeza mazungumzo ya Muafaka yaletwe kwenye muungano ili wakamilike. Kwanini hawakumpa uwaziri huyu.
 
Hivi mie sielewi au kamusi yangu inanidanganya? jamani hizi hoja nadhani zimekaa kishabiki zaidi. Chadema ni chama cha upinzani lakini wao hawakutaka kuwashirikisha wapinzani kama UDP, TLP na NCCR Mageuzi kama kweli wao hawana nia mbaya ya kuuvunja upinzani nadhani wangewashirikisha hao na kuwaweka kando CUF hapo ningeiona dhamira ya kuudumisha upinzani.

Naheshimu dhamira ya CDM kutaka kufanya kazi peke yao na wala sikuona ubaya wowote ila sifurahii mnavyo present mada wenye kufikiri wakichambua mada zenu wanaanza kushuku dhamara za CDM can we grow up and post useful and analyzed posts/threads?
 
Niliwahi kupost hii, baadhi wakabisha na wengine wakaunga mkono..sasa tunazidi kumuona huyu HR ni mtu wa aina gani!! naomba nirudi kupost/kukumbushi hii tena,

***********************************************************
Binafsi nilikuwa simjua vizuri Mh. Hamad Rashid zaidi ya kumsikia juu juu tu kwenye vyombo vya habari. Lakini baada ya kuangalia mdahalo wa ITV kati yake na M. Mbowe nimegundua kuwa Mh Hamad Rashid ni mtu:-

1. Anapenda kutoa sentensi za vitisho. (ana u-dikteta).

Hapo nahisi au siku ile alikuwa hajuia/hana uhakika na anachoongea alitaka tukubaliane naye tu, au alikuwa anapindisha ukweli kwa maslahi binafsi, au hizo sentensi zinatokana na shinikizo flani alilopewa. mfano alirudia rudia "let be seriouse on this"

2. Haijui vizuri katiba ya JMT na kanuni za bunge

Alikaa bungeni zaid ya miaka 15 na alishashika madaraka mbali mbali serikalini. lakini haijui vizuri katiba ya nnchi na kanuni za bunge, kiasi cha kushindwa kujua kutoka bungeni kwa wabunge wa CHADEMA sio kuvunja katiba wala kanuni yoyote ya bunge.

3. Anapenda madaraka.

Yupo tayari kufanya lolote apate madaraka mfano, walifanya malidhiano serikali ya Mh. Mkapa (bila kuwashirikisha wananchi)akateuliwa mbunge, kwa malidhiano hayao hayo w wanataka kuingiza kwenye katiba ya muungano cheo cha Makamu wa Rais wa ZNZ atambuliwe kikatiba (bila kushirikisha wananchi) na Sasa zaid, anataka kuingiza kwenye kanuni za bunge atambulike kama kiongozi wa upinzani mdogo bungeni (Ili aendelee kupata mil 100 na malupulupu mengine).

4. Ana element flani za udini.
Mara ninyi alikuwa akitumia mifano ya udini kujengea hoja. mfano ule wa ndesa, aliungiza hata palipokuwa hapastahili ili tu afikishe ujumbe.

5. Anamchukia Mh. Mbowe kama Mbowe kuliko CHADEMA na upinzani
Sijui kwa sababu amechukua kiti chake au la!
kwa maana, Alioneka mara nyingi akitoa mifano ya kushirikiano na Dr. Slaa ,Ndesa n.k hii ina maana ya kujisafisha juu kutokuwa na mahusiano mazuri na CHADEMA.

6. Anajivunia uzanzibar kuliko utanzania. (ni mmbaguzi)

Kauli zake zinadhihilisha kilcho moyoni mwake.

7. Mpenda sifa za kijinga

Mfano, alisifia mara nyingi kufa kwa watu 45 kwenye kudai katiba ambayo sasa wamengia tkt serikali ya mseto bila kushikisha mwazo ya wananchi hao hao waliomwaga damu, badala yake waliwashirikisha kupiga kura ya serikali ya maseto tu. Hamna hata hatua za kushinikza waliomwaga damu zao wachukuliwe zilizochukuliwa, sijui ndo inawasaidia nini wahenga wao waliadhilika na umwagaji damu, au usaliti!

8. Ana ubinafsi (Anajijali yeye kuliko chama chake/watu wake).

Alikuwa akijisifia yeye kama yeye zaidi ya chama chake na watu wake.

9. Ni kigeu geu / Hana msimamo

Amekuwa akitoa kauli zinazopingana. Kwanza alishasema kwamba Mh.Mbowe hakumualika kuunda kambi ya upinzani, the akasema aliambiwa akakataa kutoka na tofauti za kimisimamo. Hata alipoulizwa aseme ipi ni kauli sahihi aliruka kwa ukali ule ule kwamba "mimi nipo very seriose na kauli zangu". Sijui swali hakuliewa ? alitumia ukali kuficha udhaifu au ndo udikteta?

10. Ana dalili za kifisadi.

Msimamo wake unaonyesha kuegemea upande wenye mslahi binafsi zaidi kuliko maslahi ya Taifa

******************************************************************
 
Sasa huku mmevuka mipaka!

Mkuu katavi yaani baada ya kutumia nguvu nyingi sana za kujaribu kuelewesha watu wanachokipost ni cha kusikia na si kuthibitika kurudisha macho juu naona mleta mada ana post 3 tu yaani nimechoka ile mbaya inaonyesha huyu ameingia humu JF kwa dhumuni moja tu. Mimi sidhani kama siasa ni kuchukiana, kugombana kunakoambatana na kuchafuana. Naamini siasa ni kuwatumikia wananchi ili kuwaletea maendeleo basi sisi kama waajiri wa hao wanasiasa tujue tunayoyataka tusiamuliwe na wanasiasa! Lazima ifike mahali wanasiasa watuheshimu na waache mambo ya kuchafuana na kutukanana binafsi sikufurahiwa na kejeli za jana bungeni! na sitapenda kejeli zile ziendelezwe hapa JF kwani sisi na wale watoa kejeli hatutakuwa na tofauti yoyote.
 
sijamsikiliza siku za karibuni ila kwa wakati ule, nilipenda arguments zake.
Kabadilika?
Au chama chake kimebadili agenda?
 
Hivi mie sielewi au kamusi yangu inanidanganya? jamani hizi hoja nadhani zimekaa kishabiki zaidi. Chadema ni chama cha upinzani lakini wao hawakutaka kuwashirikisha wapinzani kama UDP, TLP na NCCR Mageuzi kama kweli wao hawana nia mbaya ya kuuvunja upinzani nadhani wangewashirikisha hao na kuwaweka kando CUF hapo ningeiona dhamira ya kuudumisha upinzani.

Naheshimu dhamira ya CDM kutaka kufanya kazi peke yao na wala sikuona ubaya wowote ila sifurahii mnavyo present mada wenye kufikiri wakichambua mada zenu wanaanza kushuku dhamara za CDM can we grow up and post useful and analyzed posts/threads?

hapo green
Kwa kweli Shoshi, hapo hata mimi naona kuna tatizo, ingawa naamini ni la muda.
 
Hivi mie sielewi au kamusi yangu inanidanganya? jamani hizi hoja nadhani zimekaa kishabiki zaidi. Chadema ni chama cha upinzani lakini wao hawakutaka kuwashirikisha wapinzani kama UDP, TLP na NCCR Mageuzi kama kweli wao hawana nia mbaya ya kuuvunja upinzani nadhani wangewashirikisha hao na kuwaweka kando CUF hapo ningeiona dhamira ya kuudumisha upinzani.

Naheshimu dhamira ya CDM kutaka kufanya kazi peke yao na wala sikuona ubaya wowote ila sifurahii mnavyo present mada wenye kufikiri wakichambua mada zenu wanaanza kushuku dhamara za CDM can we grow up and post useful and analyzed posts/threads?

kaka siku zote mada zako umeonyesha kuwa ni anti chadema even though u present it btn the lines,.hivi unataka kuniambia kuwa nccr,tlp,udp ni wapinzani wa kweli??check uhusiano wa wenyeviti wa hivyo vyama na ccm!chama cha upinzani ni kimoja tu,..CHADEMA..sio ushabiki wala nini thats the naked truth and you know it
 
your piece of information is an eye opener lakini najiuliza...hukufundishwa matumizi ya nukta,mkato,alama ya kuuliza n.k,..habari ni nzuri lakini it takes a genius kuiunganisha pamoja
 
Pamoja na wananchi kukaa kimya kwa muda mrefu na kumwacha Mh Hamad Rashid kujitia kuwa yeye ndiyo msafi kuliko wengine wote asifikiri kuwa watu hawamjui tamaa yake inayomshinda Fisi, Bwana Hamad amekuwa na tabia ya ubinafsi wa kutisha kuliko ule anao usema kwa wenzake na hata hufikia kudhuru na kuumiza watu anapotaka jambo lake litimie, Bwana Hamad uroho wake hauwezi lingaanishwa na yoyote hapa nchini kwa sisi tunaomjua narudia hufikia kudhuru hadi kuumiza iwapo anataka matakwa yake yakamilike, wananchi wanafahamu wakati akiwa yeye na wabunge majority hakukumbuka kubadilisha kanunu za bunge sababu alipenda uheshimiwa na marupurupu ya mkuu wa kambi ya upinzani choyo chake hataki kuona mwingine yupo juu yake, lakini hii leo siyo issue.
nilitaka mumuelewa Hamadi kama afuatavyo Hamadi leo hii ni mkurugenzi wa kampuni ya TALKTEL COMMUNICATIONS LTD lakini mnajua aliipataje nafasi ya ukurugenzi wakati yeye si mwasisi wa kampuni hii , Mpwa wa Hamadi aliingia talktel kama partner through local partners kwa mapenzi ya undugu alimwita Hamadi kuingia mule ndani kwa ajili ya influence ya kiserikali na kusaidia mambo fulani fulani ya PR na wakubwa lakini ilikuwa wameingiza jini baada ya hamadi kupewa kiti mle ndani alianza kuwashawishi local partner waasi ili waweze kupora hiyo kampuni kwani share alizokuwa nazo mpwa wake aliona hazitoshi alitaka zaidi nataka kuelezea ni jinsi gani asivyolidhika aliwashawishi local partner wagomee shares walizonazo lakini wale wamarekani walikataa walipokataa Bwana hamadi alianza kuwatesa na kuwafungulia kesi kila siku na kuwapeleka immigration na kuwasiliana na polisi ili wakimbie nchi mbinu za kizamani kabisa hakuangalia hata heshima ya nchi kwa wageni yeye aliona masilahi yake tu mbele ni mtu hatari kwelikweli alivuruga kampuni na mipango yake yote hadi watu wenye idea ya mradi wakasambaratika na kubakia ombaomba hapa mjini lakini yeye akiwa amebakia na kampuni hapa mjini kampuni hii hivi sasa ina operate kutokea ofisini kwake kule maeneo ya lugalo golf club ambapo mheshimiwa anaishi humohumo huyu ndiyo MH .Hamad Rashidi Aanewaambia wenzake wabinafsi wakati wakiwa wamesimama mbele ya haki, na jua huyu bwana ni mbishi lakini akibisha haya tutaweka ushahidi mwingi wa kutosha na jinsi alivyohusika uporaji wa kampuni bwana huyu hakuishia kuwafukuza investors tu, leo hii katika kundi lao la local shareholders wapatao 8 waliopora kampuni ameishakorofishana na wote wamebaki wachache nasikia hata mpwawe aliemkaribisha naye katimka leo hii yeye ndiyo mwenyekiti wa Talktel communication ltd shame on you Hamadi. Aibu zako ni kubwa kitaifa na kimataifa unaweza kupora kampuni lakini siyo haki ya watanzania wote iliyopo kihalali kwa ajili ya kutimiza matakwa yako wenye nchi hii hawatakukubalia wewe ni chui ndani ya ngozi ya kondoo .
NAOMBA KUWAKILISHA

Binafsi huyu bwana alikuwa moja ya wanasiasa niliokuwa nawaheshimu sana,lakini toka cdm wapate wabunge wengi amekuwa na misimamo ya ajabu sana hasa ukichukulia hakuna cdm walichofanya kipya kiutaratibu.hasa njia anazotumia kuhalalisha nafasi yake(na wenzake!) bungeni na hata akizungumza unaona alivyo makini asiwaudhi ccm, na motive ya kambi isiyo rasmi mpaka tafsiri ya kambi rasmi ya upinzani mwenye akili anajua hiyo plan B ilipotoka.uozo tunaoupandikiza kwenye nafsi zetu utawafuna mpaka watoto wetu wenyewe jamani!,Ipo siku yote yatakuwa hadharani.hatujui siku wala saa ila yaja!
 
hamadi ni golddigger yeye ndiye asiyetaka mmungano uvunjike manake anajua atakosa ulaji.
 
Hivi mie sielewi au kamusi yangu inanidanganya? jamani hizi hoja nadhani zimekaa kishabiki zaidi. Chadema ni chama cha upinzani lakini wao hawakutaka kuwashirikisha wapinzani kama UDP, TLP na NCCR Mageuzi kama kweli wao hawana nia mbaya ya kuuvunja upinzani nadhani wangewashirikisha hao na kuwaweka kando CUF hapo ningeiona dhamira ya kuudumisha upinzani.

Naheshimu dhamira ya CDM kutaka kufanya kazi peke yao na wala sikuona ubaya wowote ila sifurahii mnavyo present mada wenye kufikiri wakichambua mada zenu wanaanza kushuku dhamara za CDM can we grow up and post useful and analyzed posts/threads?

Kaka nadhani uko nyuma sana na issue inavyokwenda hawa nccr,tlp na udp walishaambiwa waachane na cuf wakagoma so ulitaka walazimishwe??? Go to hell all vibaraka wa ccm
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom