Elections 2010 Hiii ni spesheli kwenu mumtegemeao mnajimu wa jiji hili

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,738
155,421
5. Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana.
6. Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu.
7. Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea Bwana, Ambaye Bwana ni tumaini lake.
 
Anaganga njaa yule kigagula wa watu wakuu!
Ni watu wasio na maono wanamsujudia wakidhani anawasaidia!
Waache wamuungishe, maana na yeye siku zake zinahesabika!
 
Kuna kipindi flani alikuwa anaumwa hadi habari zikasambaa kuwa amefariki.
Nakumbuka alienda nje ya nchi kutibiwa, hiv alienda hospitali au kwa 'wataalamu' zaidi yake?
 
5. Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana.
6. Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu.
7. Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea Bwana, Ambaye Bwana ni tumaini lake.
Akuh! Kumbe una Bwana! Ah bwana wako anaitwa nani enh.
 
Sheikh yahya amefulia, naona sasa hana la kuongea tena, maana kila anachokitabiri hakitimii
 
Back
Top Bottom