Viongozi wa Muda wa TAwi na Viongozi wa Shina no 1 Houston, Texas
Katibu wa Tawi wa Muda akimpongeza Mwenyekiti wa shina no 1 Houston Cassias Pambamaji mara tu baada ya ufunguzi wa shina hilo katika sherehe hizo
Da Zainab pia alikuwepo Hongera mwanachama mpya Hongera sana kwa kujiunga na CCM Uongozi wa Shina na Tawi la Houston, USA
Tuko Juu! CCM Juu Juu Juu zaidi! CCM Oyee! OYeee! Mwenyekiti wa muda wa Tawi Novatus Simba akimpongeza mwanachama mpya mara baada ya kuchukua kadi yake Kaka Juma Maswanya pia alikuwepo Wanachama wakiwa na sura za Furaha I likuwa ni furaha tupu Hongera saaana! Mwanachama mpya na Viongozi wa Muda Maswanya,Simba, Kitogo Secky Adadi akichukua kadi kwa furaha tele
Kila mtu alikuwa happy! Chacha Mussa Akipokea kadi yake Hongera LBT! Da zainab akiwa mwenye furaha tele Katibu akitoa kadi kwa mwanachama mpya huku viongozi wengine wakiangalia Green and Yellow! Karibu sana kundini!
Ilikuwa ni nderemo na vifijo kwenye mnuso wa nguvu ktk kuadhimisha miaka 34 ya kuzaliwa kwa CCM huko Houston, TX siku ya J'mosi February 05, 2011
NGUVU YA UMMA TUNAKUJA KUWATOLEENI MAAMUZI MAZURI ZAIDI KWENYE KILA SWALA LA GHILIBA FITINA NA USALITI WOWOTE UTAKAOTOKEA HAPO BUNGENI WALA MSIWE NA WASIWASI; MACHO YOTE KWENU
Kwanza nina wasiwasi kama ni wabongo hawajamaa. Na ndio maana uraia wa nchi 2 hatuutaki kwani tumegundua kuna wauza sura wako huko nje wanajifanya watz :twitch:!!!
Jamani siasa zina hisia nyingi, mzuka upo, chuki, furaha, majungu, wivu, waacheni. Kama ninyi mna chama chenu mkipendacho basi waacheni nawao wapende chao. Ikibidi muwakosoe kwa sera zao au misimamo yao yakiitikadi na kimsingi. Hisia pelekeni kitandani kwa wake zenu. Dont be emotional people.lol And wapi wamesema Dowans walipew? That is bullshit.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.