Mwita na mtatiro live channel ten | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwita na mtatiro live channel ten

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyangwe, Feb 10, 2011.

 1. n

  nyangwe Senior Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwita kada wa chadema na mtatiro naibu katibu cuf wapo live channel ten 'BALAGUMU' mada.ushirikiano vyama vya upinzani bungeni. Mwita anasema ni vigumu kushirikiana.1 cuf ni sehemu ya serikali.2 walinadi sera kwa wananchi si kushirikiana. 3 kuna wabunge wa CDM wameshtakiwa nk. Mtatiro si haki CDM kuunda kambi ya upinzani. My take hoja za cuf kutaka ushirikiano hazina mshiko ni hatari kwa CDM
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  worry not Mtatiro anatafuta popularity ili baadae aje CDM, huyu ni mali yetu na tena analalamika kukosa support kutoka kwa wazeee wa CUF kwani kwa sasa wazee wa CUF hawana tena morale ya mabadiliko ya katiba kwa kile wanachodai ni agenda ya siri ya CDM.

  Mtatiro analazimishwaga kutoa kauli hata asizozikubali na Prof Lipumba anaona ahueni kwani wazee wamepunguza kumwandama na wameelekeza mashambulizi kwa Mtatiro
   
Loading...