Mkwere hajafanya chochote

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
Mbunge wa chadema Wanje akiongea kwa ujasiri uku akiwa na takwimu bila kuongopa akisema Kikwete ajafanya chochote na hatutaweza kumkumbuka.
Wana JF nampongeza Wanje kwa kusema hayo
 
Nimemsikia wenje he was so composed!ameonyesha maturity.
Hata Godbles Lema ameongea vizuri hakuwa na jazba.
Wabunge wa CDM wamejipanga.
Hawaongelei u-chadema kama wanavyofanya wabunge wa ccm.
 
mwanzo mzuri wabunge ni wajibu wenu kuangalia maslahi ya nchi, kwani ndio kazi tuliowatuma kuifanya, haya kazi njema, si tunawatazama
 
Mbunge wa chadema Wanje akiongea kwa ujasiri uku akiwa na takwimu bila kuongopa akisema Kikwete ajafanya chochote na hatutaweza kumkumbuka.
Wana JF nampongeza Wanje kwa kusema hayo

Mkuu,
Kila rais anafanya mazuri na mabaya.
kama hajafanya kitu cha kukumbukwa maana yake hajawahi kuwa Rais, kwa hiyo hawezi kukumbukwa kama Rais.
Tukiacha ushabiki basi Kikwete atakuwa amefanya maamuzi mazuri na mabaya ambayo yataacha athari ambayo itatufanya tumkumbuke tu, tupende au tusipende!
Kama Dowans watalipwa ..hatutomkumbuka kwa hili?
 
Nimemsikia wenje he was so composed!ameonyesha maturity.
Hata Godbles Lema ameongea vizuri hakuwa na jazba.
Wabunge wa CDM wamejipanga.
Hawaongelei u-chadema kama wanavyofanya wabunge wa ccm.

ila wabunge wa ccm wamemkalia kooni Godbless Lema kama Tanzania hakuna amani aende nchi zenye vita kweli hawa wabunge wa ccm wameshindwa kuelewa neno amani ambalo amemaanisha Lema kwa kusema Tanzania hakuna amani ila ni utulivu uku watu wakiwa na maisha duni hapo hakuna haki ni kuwakandamiza wananchi ndipo Lema alikuwa akioji je kuna amani Tanzania.
 
Leo nimefurahi sana kuona jinsi wanachedema bungeni wanavyopigania maslahi ya taifa

godbless ameongea vizuri sana.. Ameongelea vizuri suala la amani na elimu..
Wenje alijipanga vizuri, aliongelea mambo jk anasema amefanikisha wakati yalikuwa ya mkapa
zitto aliongelea vizuri suala la uchumi
lissu aliongelea vizuri suala la katiba kuhusu zanzibar na tanzania bara..

Ccm wao wanaendelea na vijembe..
 
wabunge wa SISIEMU wanaendesha mipasho tu ndani ya bunge, wakijipanga wanaweza kuunda kundi zuri sana la TAARABU....KIONGOZI WA BENDI awe SOFIA
 
Back
Top Bottom