Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana nilikuwa ktk kiji-function fulani ya ambapo tulikutana watu mbalimbali(wanasiasa na watendaji serikalini). Kama mnavyojua sifa moja ya maongezi yasiyo rasmi(informal) ni kuwa huwa hakuna mada...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika kile ambacho viongozi wa CHADEMA wanahaha kukitafuta hata kwa gharama ya kuhatarisha maisha ya wananchi (mfano mauaji ya arusha) na maandamano mbali mbali ya visingizo kibao (mfano...
0 Reactions
76 Replies
6K Views
Historia inayo mifano mingi inayothihirisha kwamba mtawala nayehuma na kupuliza hudumaza jitihada za kujikomboa;hivyo ndivyo ilivyokuwa wakati wa bunge lililopita. Bunge hilo chini ya uongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo hapa stand ya mabasi ngudu-kwimba,kuna mkutano wa chadema,unaöngozwa na Wenje,letisia nyerere,na mtoto wa mashishanga yule mkuu wa mkoa wa zaman wa mwanza,watu wanaipenda chadema hadi noma
0 Reactions
32 Replies
4K Views
HII si mara yangu ya kwanza kuyakariri na kuyarudia maneno ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, anayoyatumia mara kadhaa kuhoji umaskini wa Watanzania umetokana na nini huku tukiwa na rasilimali tele...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
They backed an arms embargo and asset freeze while referring Col Gaddafi to the International Criminal Court for alleged crimes against humanity. Source:BBC News - Libya: UN Security Council...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu mtu huwa sielewi kama Advocate Nyombi ni wakili au Advocate ni first name yake? Kindly assist!
0 Reactions
4 Replies
6K Views
MAAFA YA GONGO LA MBOTO: WAZIRI WA ULINZI NA MKUU WA MAJESHI WAJIBIKE! TAARIFA KWA UMMA DODOMA, FEBRUARI 17, 2011 Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni inayoongozwa na Chama cha Demokrasia na...
0 Reactions
205 Replies
20K Views
Mfumko wa bei za bidhaa-Hatari!!! Habari wanajamii Nimeona nishee dukuduku langu pamoja nanyi wanajamii, ingawa ninafahamu kuwa si wote wanaoathirika na hali hii kutokana na utofauti wa vipato...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Nawasifu sana CDM kwa kutoa elimu ya uraiya kupitia maandamano ya kanda ya ziwa.Ila kikubwa ninachowashauri wasisahau kugawa kadi za uanachama wa chadema.Huu ni wakati wa kupata wanachama wengi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kutoka Tanzania Daima KWA takriban miaka mitatu sasa sinema ya mitambo ya kampuni ya kuzalisha umeme wa dharuFra ya Dowans imezidi kushika kasi kwenye macho,vichwa na masikio ya kila mwenye kiu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kuhusu sakata la ujenzi wa barabara haribifu inayopita serengeti. Kwamba inajengwa kusaidia raia wa maeneo hayo na si kwa sababu ya vitegauchumi vya mahoteli ya kifisadi yanayojengwa huko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kwa sababu ya aibu ya anguko la uchumi lililopelekea nchi kuomba mkopo European Union na World Bank. Chama kimepata 15% tu ya kura. chaliiiiiiiiiiiiiii. Sisi huku hujisifu pale tunapopewa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The National Social Security Fund (NSSF) it is ready to provide 60 per cent of the funds needed to build an ultramodern bridge across the Magogoni creek in Dar es Salaam.NSSF is now waiting for...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
▷▷ Part 1 ▷▷ Part 2 ▷▷ Part 3 ▷▷ Part 4 ▷▷ Part 5 ▷▷ Part 6 ▷▷ Part 7 ▷&#9655...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tuna Wanasiasa Nchini mpaka leo hawajui kushindwa kutatua matatizo ya nchi wengi wanaumia na kufa. Wengine hawawezi kusema wala kuongea. Hata sisi wananchi hasa bara la Africa kuna vitu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huku kukosa umeme kisingizio Kuna hitirafu kwenye mitambo ndio iwe kila siku hapo kuna Mkono wa RA keshawamaliza mafundi wetu wa Tanesco Masikini kutwa kuchezea Mitambo Kuiwasha na kuizima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tucta yatakiwa kutomwalika Rais Jakaya Kikwete Mei Mosi

 Send to a friend Friday, 25 February 2011 20:47 Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
inasemekana kua demokrasia ni mfumo ulio dhaif kuliko zote ktk kutawala.lakin unapendwa sana na wanadam kwakua unahalalisha mambo ya kila aina ilimradi usiharib uhuru wa mwenzako...je tutegemee...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, Habari za uhakika nilizozipata hivi punde zinasema kwamba, kiwanda cha uchapaji cha Mwananchi leo kimegoma kuchapisha gazeti la DIRA YA MTANZANIA. Ofisa mmoja anaiyetwa Semu Kabugumila...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom