CHADEMA dkk 90 za mchezo zimeisha, hakuna ushindi wa mezani subirini 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA dkk 90 za mchezo zimeisha, hakuna ushindi wa mezani subirini 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Feb 26, 2011.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Katika kile ambacho viongozi wa CHADEMA wanahaha kukitafuta hata kwa gharama ya kuhatarisha maisha ya wananchi (mfano mauaji ya arusha) na maandamano mbali mbali ya visingizo kibao (mfano maandamano ya mwanza ) ambapo hakuna hata moja lenye mashiko ya hoja ili mradi tu watimize dhamira yao ya kutaka kushika dola ili hali watanzania tuliisha amua kwa ridhaa yetu kukipa chama na kiongozi anae faa kwenye uchaguzi uliopita wa Oktoba 2010.

  Hayo yote tisa, kumi ni kuwa sie wananchi hatudanganyiki tena kwa viongozi uchwara wenye uchu wa madaraka, na wenye kuweka maslahi yao binafsi kuliko ya kitaifa. Kwa hiyo hilo wanalo litaka sie wananchi hatuko tayari, wasubiri tena mechi ijayo ya 2015. Hivi sasa mpira umeisha , na washindi wameisha patikana, ushindi wa mezani hakuna kama mlishindwa kuzitumia dkk 90 zenu sawa sawa
   
 2. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Kumbe na wewe unamatatizo kiasi hiki sikujua! Umetumwa au????? tuseme hapa Tanzania wewe ulijizaa? hauna ndugu hata 1? kama una ndugu wote wanaishi kama unavyoishi wewe? au tuseme na wewe ni fisadi? Nahisi uende ukapime mental leo inawezekana umelala vibaya imeamka imejivuruga! Pumbafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu:hand:! Ni mara mia nipewe BAN kwa sababu ya ushenzi wako!
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Umemaliza, inauma eeeeeeeeeeeeh ! kweli mchicha mwiba:decision::decision::decision::decision:
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Geniusbrain, sasa naamini hilo jina lako lina maana sana na limekukaa.

  Jinsi ulivyoelezea inanikumbusha zama zetu na timu zetu zikicheza mechi pale Jangwani, Shule ya Uhuru au Gerezani. Kuna timu ilikuwa ikiitwa wimbo (wimbley) siku mkicheza nayo mkishinda (sijawahi kuiona hii timu ya wimbo ikishinda), basi mnangoja refa akipuliza tu kipyenga cha mwisho, wachezaji na washabiki wa timu pinzani mnakimbia, kwani hawa vijana wa wimbo lazima waanzishe "vagi" na kwa kuwa walijulikana kwa fujo basi baada ya mpira hakuna kungoja, mbio tu, mnakwenda kubalishia mbele kwa mbele huko.

  Hawa wimbo ni mfano wa Chadema, magoli washa lambwa, sasa wanataka kuanzisha fujo. Si wangoje mechi ijayo kama ni wachezaji wa kweli?
   
 5. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nawewe umetokea wapiiiii?????? au tuseme ndo Rihmond na Dowans ngoja nifanye utaratibu ifutwe hii post!:hand:
   
 6. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Biashara ni matangazo na siasa ni kuwa karibu na wananchi. Njia mojawapo za kuwa karibu na wananchi ni mikutano ya hadhara na maandamano. Kwani wewe matokeo ya operesheni sangara hayaonekani?
   
 7. l

  lakezone New Member

  #7
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwakuwa ni haki ya kila mtanzania kutoa maoni haya nayo ni maoni yako bt kwa haraka haraka inaonesha una ukungu kwenye ubongo wako.
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Vipi, inauma?
   
 9. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa hawana jipya, kinachotakiwa sasa ni kufanya usajili wa maana kwa ajili ya mechi ya 2015. Badala yake pesa za rukuku badala ya kuimarisha chama vijijini wao wanalipana posho za maandamano. Kwa taarifa yako posho ya siku ya maandamano ni Tshs 350,000/= , sasa huku si kuwanyonya wananchi na matumizi mabaya ya rasilimali
   
 10. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tena unahitaji kutolewa kwa kutumia mitambo ya Dowans kwa kuiunganishia kwenye Grid ya kichwa cha huyu mpuuzi ili ukungu utoke!
   
 11. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  WAKUJA, KARIBU SANA JF, kumbe ndio umeingia
  Join Date : 26th February 2011
  Posts : 1
  Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts

  Rep Power : 0
   
 12. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siyo inauma nafikiria sana wewe unaishi nhi gani usiehumia ndugu zako wanavyoteseka? Au unafikiri kwakuwa wewe unaishi kifisadi na ndugu zako wote wanaishi hivyo? Ukue ndugu yangu!
   
 13. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #13
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jibuni hoja acheni jazba, ndio tatizo la wanachama/wapenzi/viongozi wa CHADEMA, kwenye hoja nyie mnaleta jazba, pevukeni mawazo !
   
 14. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Bado haujanishawishi,jaribu tena baadaye,2nafanya siasa za kisasa sio za kale km unazozitaka wewe..nenda shule kajifunze maana ya multpaty system na maana ya democrasia,hakika chadema endeleen kuandamana na kugomea maovu yote..ni njia za kutoa elimu ya uraia kwa wananchi.
   
 15. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #15
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Afadhali! na Dowans inalipwa shilling ngapi? Bi100 na laki3na nusu hivi nawewe unaukungu eti ee?
   
 16. Jembe Ulaya

  Jembe Ulaya JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 27, 2008
  Messages: 456
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bamba stinkin clot
   
 17. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #17
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tatizo lako umeisha pandikizwa mbegu ya kupenda vitu vya bure bure, fanya kazi kwa bidii na maarifa ndio mkombozi wako. Zile zama za nchi ya manna na salwa hazipo tena
   
 18. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #18
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :amen:
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kuwa patient.
  Subiri broda, utaona majibu ya kazi hii adhimu inayofanywa na cdm muda si mrefu.
  Nawatahadharisha tu kuwa jiandaeni na mshituko!

  Mkubwa wenu alitangaza hadharani pale Majimaji Songea kuwa inabidi kitu kifanyike cha kuibadilisha ccm, maana imepoteza mvuto kwa watu.

  Sasa ulichotakiwa kufanya kabla ya kuja hapa ni kwenda kusaidiana na Makamba kuchagua rangi ya kuipaka ccm ili iwe na mvuto huko2015...nawahurumia sana kiongozi...
  Mtashuhudia msichotegemea!

  You can take this statement to the bank!
   
 20. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tutakupeleka Libya ukafungamane na Gadaff!
   
Loading...