inasemekana kua demokrasia ni mfumo ulio dhaif kuliko zote ktk kutawala.lakin unapendwa sana na wanadam kwakua unahalalisha mambo ya kila aina ilimradi usiharib uhuru wa mwenzako...je tutegemee mfumo mwingine tofaut na huu?au ndo wa mwisho?tuelezane.
sijakuelewa hata kwa dawa .... kwani demokrasia ipo tangu enzi hizo kabla hata ya natural law ... sijui unamaanisha nini ...utawala wa demokrasia au kitu gani....au unalinganisha na utawala wa kidikteta
aggrrrrr ..... boresha bandiko lako lieleweke