Kushindwa kwa Uongozi Tunaumiza Wengi. Taifa na Wananchi Tufundishane Wote...

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Tuna Wanasiasa Nchini mpaka leo hawajui kushindwa kutatua matatizo ya nchi wengi wanaumia na kufa. Wengine hawawezi kusema wala kuongea. Hata sisi wananchi hasa bara la Africa kuna vitu vinatuumiza kwa tamaduni mbaya. Kweli tubadilike la sivyo tunajimaliza sisi wenyewe. I hope someone will find this useful and educational. Please angalia hii video clip;

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom