Kuna mkono RA Kwa mafundi wa Tanesco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna mkono RA Kwa mafundi wa Tanesco

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duduwasha, Feb 27, 2011.

 1. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,139
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Huku kukosa umeme kisingizio Kuna hitirafu kwenye mitambo ndio iwe kila siku hapo kuna Mkono wa RA keshawamaliza mafundi wetu wa Tanesco Masikini kutwa kuchezea Mitambo Kuiwasha na kuizima nawaonea huruma Sana ila wanatupa shida sisi wananchi tulio wengi kuukosa huo umeme zanzibar kulitokea hitirafu wakatangaza itatumia siku kadhaa mafundi kutoka nje waje.. sasa hapa kwetu no Taarifa unazimwa mtambo wa Songas wenye uwezo mara mbili ya mtambo wa Dowans ili Deal zao zikubarike kwa roho nyoofu sasa sie tunasema kama noma na iwe noma hatutaki Dowanssssssssss
  Ujue ni mkono wa RA pale Kibaraka wa RA Mama anayetafuta mume (Anna MatotoYa ndege SpEkEr) alipoliondoa swali la Mbowe MB. Aliyetaka kupewa taarifa rasmi ya serikali lini mgao wa umeme uaisha
   
Loading...