Anayejua anisaidie hili! Je, ni kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anayejua anisaidie hili! Je, ni kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUMZA, Feb 27, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Jana nilikuwa ktk kiji-function fulani ya ambapo tulikutana watu mbalimbali(wanasiasa na watendaji serikalini). Kama mnavyojua sifa moja ya maongezi yasiyo rasmi(informal) ni kuwa huwa hakuna mada maalumu ya kuijadili. Katika maongezi yetu kiongozi mmoja wa CDM ktk mkoa ninaoishi akasema kuwa ninanukuu"Chadema ina hela bwana na ina watu. Kwa kila maandamano yanapofanyika MWENYEKITI NA KATIBU TAIFA wanaposhiriki wanapata Tzs 500,000 na viongozi wa makao makuu na wa mikoa wanapata Tzs350,000" wakati wale wa wilaya wanapata Tzs 200,000.

  Kwa wanaojua, je hii ni kweli? Kama si kweli, ukweli ni upi? Kama hufahamu naomba usichangie na kuichafua post yangu.
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Uchafu huu,a damn crap
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Mkwere anapewa sh. Ngapi akizindua mahoteli huko Arusha ? Post ya kipuuzi kuliko zote za wiki hii
   
 4. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Laki tano ni sawa, malazi ya hadhi ya m/kiti, mawasiliano, chakula, per diem, etc

  maana yangu ni kwamba sijaona tatizo hapo.

  Pili, hiyo kauli jinsi ulivyodai umeinukuu nadhani ni uongo umetunga. Halafu ukashindwa kutunga uongo wenye akili. Hakuna kiongozi wa ngazi ya juu Chadema mwenye akili finyu hivyo, eti kuhusisha kiasi gani viongozi wanalipwa na chama kuwa na pesa! Kwamba kadri zitakavyopatikana ndivyo watakavyojiongezea. Kwani Chadema haina sera ya malipo kwa watendaji na viongozi wake?
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,574
  Likes Received: 18,515
  Trophy Points: 280
  Kaumza, kabla Chedema wenyewe hawajakushukia, kuna baadhi ya vitu ukivisikia, lazima uulize logic behind kwa huyo uliyemsikia, unauliza as if unataka kujua ukweli kama viongozi wa Chadema wanalipwa kushiriki maandanano. Picha utakayoonekana unataka kuichora ni kuonyeshe ushuriki wa viongozi hao unatokana na financial incentive, kwa hili lazima ukubali kushukiwa na wenyewe na ikibidi kutukanwa!.

  Baada ya kuyasikia uliyoyasikia ulitakiwa kuuliza kwa huyo huyo, jee malipo hayo ni ya ushiriki wa maandamano au ni malipo ya kawaida ya masurufu na maduhuli ya safari za kikazi (imprest na per diem)?.

  Kuna taasisi wanalipa fedha za safari Sh. 500,000 per day unapewa gari na dereva na ofisa mhusika anahakikisha kila safari ni lazima iwe ya siku mbili na kuendelea hata kama ni Kibaha au Morogoro hivyo kila akisafiri anasaini kuanzia Milioni ndio minimum, hivyo hata hiyo laki 5 unayoiulizia ni pesa ya kawaida tuu tena hiyo ni afadhali, fanya na kajiutafiti kadogo kule kwa Chukua Chako Mapema wakuu wakisafiri wabasaini kiasi gani licha ya chama mkoa na wilaya kulipia kila kitu mpaka 'blanketi' chapa mtu!
   
 6. B

  Bumela Senior Member

  #6
  Feb 27, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kama ulikuwa na kigogo wa CDM kama unavyosema mwenyewe kwa nini hukuuliza hapo hapo.
   
 7. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #7
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ashakum si matusi. Ukisikia ushuzi wa ngomani ndio huu!
   
 8. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  una akili timamu au ubogo wako umeshikiwa na hao walio kutuma? kawambie CDM hawana ujinga kama wa hao waliokutuma na wape pole sana! kwa heri
   
 9. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,053
  Trophy Points: 280
  Kuna thread zingine hazifai hata kuwekwa kwenye dust bin.
   
 10. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mtu akienda haja kubwa mnaita Long Call,
  Akienda haja ndogo, mnaita Short Call,
  Huyu Kaumza kachafua hali ya hewa (kajamba), ntaita Missed Call! tumpuuze.
   
 11. Kituku

  Kituku JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kaumza,
  Me nafikiri ungetafuta kwanza za CCM ukaziweka hapa then ukakompea mwenyewe, wewe si ndo mtoa mada? si ungetafuta sasa?
  Halafu unaacha kazi zako unaleta hapa mambo ya vijiwe?? kweli hapo ni sawa na O
   
 12. T

  Teh Teh Teh Member

  #12
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA haina hizo fedha.... hizo ni propaganda za ccm. hata CCM hawalipani hivyo........
   
 13. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  Madhara ya sekondari za kata
   
 14. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Inaweza ikiwa ni imprest (masurufu) kwa ajili ya vitu fulani fulani ambavyo vtahitajika na kama ni imprest inakuwa na retirement some times you can retire cash.
   
Loading...