Raia wa Ireland Wakipiga Chini Chama Kilichotawala Maiaka 14 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raia wa Ireland Wakipiga Chini Chama Kilichotawala Maiaka 14

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Feb 27, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Ni kwa sababu ya aibu ya anguko la uchumi lililopelekea nchi kuomba mkopo European Union na World Bank.

  Chama kimepata 15% tu ya kura. chaliiiiiiiiiiiiiii.

  Sisi huku hujisifu pale tunapopewa mikopo au kusamehewa madeni. Raia wa nchi zingine hiyo ni aibu ambayo adhabu yake ni kwenye masanduku ya kura tu.
   
Loading...