Kwimba imetekwa na chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwimba imetekwa na chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jitu la kale, Feb 25, 2011.

 1. j

  jitu la kale Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Nipo hapa stand ya mabasi ngudu-kwimba,kuna mkutano wa chadema,unaöngozwa na Wenje,letisia nyerere,na mtoto wa mashishanga yule mkuu wa mkoa wa zaman wa mwanza,watu wanaipenda chadema hadi noma
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Huyo mtoto wa Mashishanga ni yule Tall mwembamba ama ni yule wa kike?
   
 3. M

  Mary Chuwa Senior Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tunaelekea pazuri zaidi jamani pasisahaulike Musoma vijijini watakapofika Mara kuleee alipo yule fisadi mwingine Nimrod Mhand
   
 4. j

  jitu la kale Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Yule wa kike mnene hivi,watu wa mwanza wamemkubali ile mbaya
   
 5. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ahsante, nawajua hao nilikuwa nao TBR wakati baba yao akiwa ni RC pale.
  Ahsante kwa updates...
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  yaani ukitaja CHADEMA mwili unanisisimka sana....yaani hapo habari za kiitelijensia zinawaumiza kichwa sana...hahaaa
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Sawa sawa!
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  photooooooooooo plzeeeee
   
 9. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Asante kwa kutujuza. Tuletee picha tafadhali nasi tufaidi kinachojiri huko.
   
 10. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Vipi kuna shughuli zozote za kijasiriamali zafanyika ama CHADEMA imesitisha shughuli zote za uchumi kwa masaa haya ya mchana hapo KWIMBA?
   
 11. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  mwak huu ni shida tupu kwa ccm
   
 12. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,414
  Likes Received: 1,974
  Trophy Points: 280
  naona intelligensia yote boxer zimewabana
   
 13. j

  jitu la kale Member

  #13
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mbunge wa hapa kwimba mh. Masoli (msambaza mafuta migodini),toka atanganzwe na DED(Mkurugenzi) wa hapa hajawaii onekana hapa kwimba-mwanza,juzi alipigiwa simu haje kwenye vikao na wananchi,akajibu yupo uarabuni kwenye biashara zake za mafuta,leo wamemshitaki kwa letisia nyerere,na Wenje
   
 14. j

  jitu la kale Member

  #14
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Jamani picha mbona zinagoma kuja,nahisi nakosea kutuma pole jaman
   
 15. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  teke linalokuijia!!
   
 16. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,509
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  PIOOOPOS POWER,

  Nafurahi mwamko ukitokea Kwimba na kwetu Misungwi wataelewa. Anyway................ by 2015 kitaeleweka tu!!!!!!!!!!!!!!
   
 17. j

  jitu la kale Member

  #17
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  wamefungua matawi hapa kwimba,sema hapa letisia nyerere alijitolea nyumba pamoja na hati yake kwa chama so ndo ofisi na ni kubwa sn ujue
   
 18. e

  emma 26 Senior Member

  #18
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walioko geita ni wapi? Mbona wengine wanasema wako geita?
   
 19. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wameshagawanyika wapiganaji katika wikaya mbalimbali
   
 20. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huko mbali sana mkuu kitaeleweka mapema zaidi. Hatuwezi kuvumilia hii hali ngumu inayosababishwa na Kikwete hadi 2015!
   
Loading...