Is Gadaffi on the way to The Hague? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is Gadaffi on the way to The Hague?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Margwe, Feb 27, 2011.

 1. Margwe

  Margwe JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  They backed an arms embargo and asset freeze while referring Col Gaddafi to the International Criminal Court for alleged crimes against humanity.

  Source:BBC News - Libya: UN Security Council votes sanctions on Gaddafi
  I remember AU ganged up against Moreno when he indicted El- Bashir.,

  Will it do the same for Gadaffi? can anyone give any single success of AU in this continent?
  As an African do we need to 'think and have a feeling that it African Union?
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,907
  Likes Received: 12,053
  Trophy Points: 280
  Nafikiri ataishia huko huko, ametumia jet fighter kuua raia zaidi ya 200 kwa muda mfupi huku akijua hawana uwezo wa kujitetea kwa vile hawana hata bunduki ya kuzifikia hizo jet ni kesi kubwa, tofauti na kuuawa na polisi wa kutuliza ghasia wanaotembea kwa miguu ambao raia anaweza kujitetea. Alichofanya ni sawa na kumpiga mtu huku akiwa amefungwa mikono na miguu.
   
 3. k

  kayumba JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  With the current trend, it is obvious Gaddaf will end up behind bars at the Hague! He can buy time running from one country to another but later he will be brought to justice.

  On AU anything is possible, since the decision makers are presidents who seems to face the same fate like Gaddaf's (ousted from office) they might decide to back him up like they did on Al Bashir. All in all, with Gaddaf's scinario, the chance for AU golden purachute is minimal!
   
 4. N

  Nonda JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Kila kiongozi wa third world anaweza kuishia The Haugue hapa ndio utaona pia double standard ya wenzetu. Bush kavamia nchi ya Iraq na maelfu wameuawa na bado wanaendelea kuuawa..Afghanistan vile vile maelfu wamepoteza maisha..sasa 200, 500 na maelfu kadha tofauti ni ipi?

  Sio kuwa nataka kumtetea Kiongozi anaeua raia ambaye hana njia ya kujitetea ila kupitia maandamano..ninachosema hapa ni kuwa wote wanastahili kwenda behind bars.
  Obama anauwa raia huko Pakistan kila leo kwa squadron zao kwa kisingizio cha kuua magaidi lakini idadi ya vifo vya raia ni kubwa zaidi.
  Mwenye nguvu....
   
 5. N

  Nonda JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  The UN Security Council has voted unanimously to impose sanctions on Muammar Gaddafi's Libyan regime for its attempts to put down an uprising.

  Kuna serikali au kiongozi ambaye hatajaribu kuzima "uprising"?

  Inapofanyika mikutano ya G7, G20 si tunaona polisi wanavyopambana na waandamanaji? Sasa hawa huwa ni waandamanaji kidogo tu. Ikitokea kwao watafanya nini?
  UK na yale maandamano ya wanafunzi kupinga mambo ya tuition fee, walijaribu kuwadhibiti wanafunzi.....ikitokea kwa nchi nzima kwao ndio tutajua haya mambo ya "crime against humanity".

  Sasa hivi ni zamu ya viongozi wa third world. Hakuna ubaya wanastahiki adhabu hii. walijisahau.
   
Loading...