Advocate Nyombi ni advocate? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Advocate Nyombi ni advocate?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dazu, Feb 27, 2011.

 1. dazu

  dazu JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 365
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huyu mtu huwa sielewi kama Advocate Nyombi ni wakili au Advocate ni first name yake? Kindly assist!
   
 2. 911

  911 Platinum Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Do ur homework fella.Nowdays the forum is full of threads asking questions that could easily get answers even by simple google search.Aaaagh!
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Feb 27, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Sijui kwa nini unataka kujua hili ila ukweli ni kuwa Advocate ni jina la kwanza la mheshimiwa yule; siyo wakili. Ni kama ilivyo kwa Generali Ulimwengu kuwa yeye siyo general wa jeshi ila hilo ni jina lake. Ingawa Tanzania hapa tuna majina yaliyo na tafsiri tofauti katika lugha ya kiingereza kwa mfano jAunt ni jina la kwanza la binti Aunt Ezekiel ambaye ni maarufu Tanzania, huko Zimbawe wametuzidi sana. Utasikia majina kama Lovemore, Honestman, Chief, Captain. Sincere.
   
 4. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2011
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Pamoja na jina lakini vilevile Advocate ni Lawyer by professional.
   
 5. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Una kesi?
   
Loading...