Lowassa: Wanaharakati Wanathamini Wanyama Zaidi Kuliko Binadamu

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Ni kuhusu sakata la ujenzi wa barabara haribifu inayopita serengeti.

Kwamba inajengwa kusaidia raia wa maeneo hayo na si kwa sababu ya vitegauchumi vya mahoteli ya kifisadi yanayojengwa huko.

Kwamba wao kina lowasa and co. wanajali sana raia, that is why wanawajengea barabara.

Kwamba wanamazingira kama tundu lisu na wenzake wanautashi kuhusu wanyama zaidi kuliko binadamu.

mkwere anasema ili kuepusha madhara kwa wanyama, barabara hiyo haitawekewa lami.

wikiliki za mchoro halisi zinaonesha barabara hiyo itakatiza mbugani, tofauti na mchoro uliotolewa hivi karibuni ambao unaonekana kama vile inazunguka hifadhi hiyo.

source: Mtu na Mazingira, Deustche Welle(Idhaa ya Kiswahili)
 
Back
Top Bottom