kambi ya upinzani katika bunge la Afrika Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kambi ya upinzani katika bunge la Afrika Mashariki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by figganigga, Apr 24, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  Heri ya pasaka wakubwa.
  kukaa kwangu kote sijasikia habari kuhusu kila kambi ya upinzani ya kila nchi miongoni mwa nchi za afrika mashariki zikijadili kuhusu kupeleka wabunge watakao wakirisha kambi zao katika bunge la afrika mashariki.
  Nasema hivyo kwa sababu bunge la afrika mashariki linapokaa linakuwa kama bunge la chama kimoja,sabu waliowengi ni kutoka vyama tawala.
  ingekuwa vizuri zaidi wachague na kiongozi wa vyama vya upinzani vya EAC.

  NATOA HOJA
   
 2. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na mimi naongeza, huko EAC, nani atasemea mambo ya Zanzibar yasiokuwa ya Muungano ya JMT?

  Kwanini hatumalizani wenyewe kwanza kabla hatujaingizwa katika umoja mkubwa zaidi mzobe mzobe?

  NAONGEZA HOJA
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kuna Mtoto wa Former President Mwinyi as Mbunge wa East Africa kwahiyo atawakilisha NCHI YA ZANZIBAR
   
 4. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hATUNA HAJA YA KUWA NA KAMBI YA UPINZANI KWA KUWA WANAOKWENDA HUKO WANAKWENDA KUWAKILISHA TAIFA WANALOTOKA NA SIO MITAZAMO YA KISIASA, TUKIRUDI KATIKA MABUNGE YETU NDIO TUNASHIKANA MASHATI
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,842
  Trophy Points: 280
  yule ni mbara
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Yeah Gharib Bilal alikuwa Mmojawapo na Sasa the position is Vacant kuna Sebtuu Mohamed from Z'Bar

  Abdullah Mwinyi Profile [FONT=trebuchet ms,geneva]Mwnyi, Abdullah AH.[/FONT]
  [FONT=trebuchet ms,geneva]Salutation: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Honourable[/FONT]
  [​IMG]

  [FONT=trebuchet ms,geneva]First Name: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Abdullah[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Middle Name: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Ali Hassan[/FONT]
  [FONT=trebuchet ms,geneva]Last Name: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Mwinyi[/FONT]
  [FONT=trebuchet ms,geneva]Member Type: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Elected[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Constituency: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]TANZANIA[/FONT]

  Said Bilal Profile [FONT=trebuchet ms,geneva]Dr. Bilal, Said G.[/FONT]
  [FONT=trebuchet ms,geneva]Salutation: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Honourable[/FONT]

  [​IMG]

  [FONT=trebuchet ms,geneva]First Name: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Said[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Middle Name: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Gharib[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Last Name: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Bilal[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Member Type: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Elected[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Constituency: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]TANZANIA[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Political Party: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]CHAMA CHA MAPINDUZI[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Office Location: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]P.O. Box 234, or 2818 Zanzibar -TANZANIA[/FONT]

  Sebtuu Nassor Profile [FONT=trebuchet ms,geneva]Nassor, Sebtuu M.[/FONT]
  [FONT=trebuchet ms,geneva]Salutation: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Honourable[/FONT]
  [​IMG]

  [FONT=trebuchet ms,geneva]First Name: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Sebtuu[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Middle Name: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Mohamed[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Last Name: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Nassor [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Member Type: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Elected[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Constituency: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]TANZANIA[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Political Party: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]CHAMA CHA MAPINDUZI[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Office Location: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]P.O. Box 3079, Zanzibar - TANZANIA[/FONT]
   
 7. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Nadhani Dr. Said Gharib Bilal ni mdogo wake Dr. Muhammed Gharib Bilal ambae ni VP wa sasa wa JMT. Kama sikosei PI walikua na kaka yao ambae sasa ni marehemu, Maalim Bilal Gharib Bilal ambae aliwahi kua Labour Commissioner na pia DC.
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Apr 27, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kwani The Zanzibari Act, 1985 haimpi sifa kuwa Mzanzibari?
   
Loading...