KARAMAGI kuanzisha kampuni ya mawasiliano, inaitwa 4G MOBILE LIMITED | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KARAMAGI kuanzisha kampuni ya mawasiliano, inaitwa 4G MOBILE LIMITED

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gsana, Apr 15, 2011.

 1. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Katika harakati za kujikwamua na maisha aliyekuwa mbunge wa Nkenge Nazir Mustafa Karamagi(CCM) na Salim Mohammed Salim wameamua kuanzisha kampuni ya mawasilino kuwa mshindani wa Voda,Tigo,Airtel,zantel,sasatel,n.k.
  Binafsi naona wamedhamiria kuitumia nafasi ya kuwa mwekezaji wa ndani Tanzania. Iki ni chanzo kingine kwa serikali kuweza kupata kodi kwa kuwa makampuni haya ya mobile services yanalipa kodi ya Kutosha.
  Kampuni imesajiliwa kwa jina la 4G mobile ltd,yenye anuani P.o Box 40426 Dar es Salaam.
  Wanahisa ni wafuatao na hisa zao
  1. Nazir Mustafa Karamagi (57.5)
  2. Salim Mohammed Salim (20.8)
  3. Said Rashid Othman (13)
  4. Joseph Mlangila Mfugale (0.8)
  5. Vitus Joseph Mfugale(0.006)
  6. Kisia Omari Almassi (0.006)
  7.Amos george Khoma (0.006)
  Selleman S. mvungi (0.06)
  8. Hama rasshid Mohamed(0.6)
  9. Zacharia Hans Poppe (5.9)
  10. Shaa Hassan Mahady
  11. Semiit CO.ltd (0.006)
  12. Liberty Commercial Agency(0.03)
  Kutokana na sheria za mawasiliano,sec.8 Electrnic and and Poastal communication Act No.3 2010 raia anaweza kushauri vyovyote kuhusu ndani ya siku 14 kwa ajili ya kujiridhisha kuwa TCRA itoe leseni au la na wazo ilo litafikiriwa, email dg@tcra.go.tz.
  Nafurahi kuleta ujumbe huu kwa jamii yangu na familia yetu ya JF.
  Kwa kupata mshindani huyu, nadhani gharama za mawasiliano zitazidi kushuka na mwananchi kupunguza makali ya maisha kwa kuwa asilimia 10 ya matumizi ya kila siku ya watu waishio katika majiji ya Tanzania huishia ktk mawasiliano. Nawasilisha.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  Huu ndo wiz wa hela zetu serikali inashindwa kuzichukua jamaa anaamua kuzitumia
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hawa ndio Lion ShareHolders!...

  Jamaa ameamua ku'diversify biashara ili aendelee kuwa bouyant!
  Anyway, this is promising-good News to we Consumers!
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hiyo kampuni kuna siku itataifishwa na umma
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  hapo lazima RA yumo!kila mahali alipo karamagi kama TICTS na SEACOM ROSTAM HAKOSEKANI.atakuja kuwa ndiye kapewa power of attorney!huyo salim moh salim huenda hata e exist!ni mtu mwingine kajificha
   
 6. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Na nyie mna wivu wa kutosha. Mwacheni aanzishe, nyie kila kitu fedha zenu fedha zenu. ahh tumechoka na uvivu huu
   
 7. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Nilipoona jina la Salim pamoja na Karamagi nilipata mshituko......nikaanza kujiuliza SAS amepotea njia? Kumbe ni Salim Mohammed Salim
   
 8. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mh.Karamagi alikuwa mbunge wa Bukoba vijijini na wala siyo Nkenge.
   
 9. W

  Wanji Member

  #9
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 28, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mtagundua kitu kimoja, mafisadi wameaumua kumiliki vyombo vya habari na mawasiliano ili waweze kuamua nini msikie na nini muweze au msiweze kuwasiliana. Mnakumbuka kampeni ya changia chadema kwa sms ilikumbwa na nini?


   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,168
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  Kwa ukweli akuna kampuni zinazotuibia hela zetu kama za simu ..asikwambie mtu ndugu yangu
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ahaaa ahaaa you must be kiddin me.
   
 12. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Ni vizuri wameamua kuwekeza TZ. Watu watapata ajira ya kuuza vocha badala ya kuficha visenti huko UK kama wanavyofanya wengine!
   
 13. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Nyie hivi mnataka nani awekeze Tz?
   
 14. KIWAVI

  KIWAVI JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 1,747
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  hajavunja sheria, i dont see any problem
   
 15. M

  Mndamba Member

  #15
  Apr 15, 2011
  Joined: Jun 22, 2007
  Messages: 50
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wanatuibia kivipi? Mkuu hebu tujuze na kama inawezekana tuzuie wizi huu.
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hivi wewe ni wa wapi embu tafuta thread ya nahisi wananiibia tiGO isome afu ndo uongee sawa mkuu..
   
 17. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  ok mkuu,asante kwa kunisahìhisha,nkenge alikuwa dr. Kamara sio? Ok. Asante mkuu!
   
 18. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  ni kweli mpaka sasa tunasubiri kampuni iwe hewan tupate mawasiliano wala hamna sheria iliyovunjwa!
   
 19. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  yeyote anayefuata sheria za nchi au kuna pingamizi mkuu?
   
 20. Rocket

  Rocket Senior Member

  #20
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mm sioni ubaya as long ni wa Tz,and they ll pay all Taxes.jmani imefikia pahali tusapoti wa TZ wenzetu
   
Loading...