Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo, amevitaka vyama vya siasa na serikali kwa ujumla kuacha mara moja kuwazuia watu wanaodaiwa kuwa mafisadi kwenda kupata...
1 Reactions
63 Replies
9K Views
As am watching TBC (one of the rare moments that I do) am reflecting on Mwl. Julius Nyerere. With his failures as a human being he remains a true son of Tanzania. He is a hero in many aspects...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna mikakati ya muda mrefu na ya muda mfupi kwa vyama vya siasa kuwin washabiki na wanachama wengi kipindi fulani! Hapa kuna long term strategies na short term strategies ikitiegemeana na haswa...
4 Reactions
112 Replies
10K Views
Sisi hatuna makubwa. Kwa kuwa ni watutunao tawaliwa(kikoloni) na Tanganyika kwa kisingizio cha muungano, tunachotaka ni "independence", "Freedom" and "Democracy". Sina haja kuchambuwa kila...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Danson Kaijage “NI lazima Wilaya ya Kilombero iwe na heshima ya kimaendeleo, haiwezekani wilaya yenye vyanzo vya kuzalisha umeme na yenye kulima mpunga kwa wingi, wananchi wake wawe nyuma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitaendelea na ratiba yake ya kufanya maandamano ya amani katika mikoa minne kuanzia wiki ijayo. Chama hicho kimesema kuwa ziara hiyo ya...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Tamko la Jumuiya za Kiislamu Zanzibar juu ya sherehe za Muungano Sherehe za Muungano Zanzibar, wananchi wasusia Posted on April 26, 2011 by zanzibarpost Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo kumekucha na mpango mahsusi tunaona serikali imeamkia rasmi na mpango mahsusi wa kuutetea muswad uliokataliwa na wananchi wa katiba mpya. *Tatizo nilionalo ni pale mwanasheria mkuu wa...
0 Reactions
93 Replies
9K Views
Katika hali inaayoonekana kutaka kukiimarisha chama hasa kwa kutumia vijana, Chama Cha Mapinduzi kinajiandaa kutumia mitandao ya kijamii kama vile Facebook, twitter na mingineyo kwa ajili ya...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Katika mjadala unaoendelea wa marekebesho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna malalamiko na lawama zinazoanzia Zanzibar kwamba mpangilio na utaratibu wa sasa umemshusha hadhi Rais...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Naandika haya nikitafakari maduduku, malalamiko ya wananchi hususani wazanzibari kwa upande mmoja kwamba muungano unanyonya/unakwaza na kufifisha maendeleo ya sehemu hii ya muungano n kwa upande...
2 Reactions
76 Replies
8K Views
wakubwa hivi mnajua muda uliotolewa na CCM kwa mafisadi kwa wamejiandoa chamani ni 10/7/2011 na ikifika 11/7/2011 basi 'mafisadi' watatoswa.Leo ni karibu wiki tatu lakini hawajapewa barua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Martin Kaswahili TANGU kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge, na madiwani mwezi Oktoba mwaka jana, nchi yetu imeshuhudia matukio kadhaa ya kipekee ambayo huenda yakawa kiashirio cha...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Kama mimi ningelikuwa mmoja wa wale mapacha 3 wa UFISADI al-maarufu RACHEL ningelichukua uamuzi ambao CCM wasingesahau: Uamuzi huu ungelikuwa kama ifuatavyo: Kwanza tungelifanya kikao na kuweka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Friday, 22 April 2011 Fidelis Butahe MWASISI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edwin Mtei amesema siku za CCM kukaa madarakani zinahesabika kwa kuwa chama hicho kimekosa usimamizi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanajamvi; Haya masuala hayawezi kamwe kwisha iwapo wahusika wanakenuliwa meno tu na JK na serikali yake. JK yuko tayari kila mara kuwaambia wananchi -- "Kuongezeka kwa gharama za umeme...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kikwete ndie aliyemmbeba Lowasa na hivyo hivyo, ndivyo hatakavyo mdondosha. Japo jamaa yake huyo anakusudia adondoke nae,na kwa kuwa yupo aliyemjenga mwenzie, huyo aliyemjenga mwenzie ndie atakae...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF wenzangu mimi nauliza je JK atatoa hotuba leo? Au atapotezea tena! Nimewasikiliza watangazaji wa TVZ na TBC1 wakidai ni bora leo atoa hotuba ili kukidhi matakwa wa watanzania wengi. La...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
……hapa hatukuja kutazamana sura kama unampenda kanywe chai….. Pengine watanzania wengi hawaifahamu kauli hii na hawajawahi kuisikia hata siku moja na hawajui nani aliisema? Kumbukumbu za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna sababu Kadhaa za kupendekeza CCM Ifutwe kama ifuatavyo: 1. CCM imekubali kuwa imekumbatia mafisadi. CCM imewataja Lowasa, Rostam na Chenge kama vinara. Hawa ni wachache tu kutoka...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom