Mkapa kutinga kortini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkapa kutinga kortini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lilombe, Apr 27, 2011.

 1. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais Mstaafu Benjamin Mkapa anatarajiwa kutinga mahakamani Kisutu, katika kesi inayomkabili Prof Mahalu juu ya manunuzi wa nyumba akiwa balozi nchini Italia. Rais Mkapa atatua Kisutu kutoa ushahidi katika kesi husika.

  Source: Gazeti la Mwanahalisi, Aprili 27, 2011
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,244
  Trophy Points: 280
  Kesi ya kisiasa akishahusika Rais Mstaafu hasa kwa bongo nikitu kigeni!
   
 3. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  kweli wamempania huyu prof!
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hilo ni changa la macho tu, ni njia ya serikali kujisafisha indirect lakini hukumu Mkapa anaijua Prof. hatafungwa.
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni jambo la kawaida sana katika sheria endapo Mkapa ni mmoja wa mashahidi muhimu wanaotakiwa kuisaidia mahakama kupata ukweli wa tuhuma za mahalu. Suala hili halihusiani na Urais wake bali ufahamu wake katika tuhuma hizo kwa nafasi yake alipokuwa Rais.
   
 6. M

  Mkala New Member

  #6
  Apr 27, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona yeye ajashitakiwa kwa kununua mladi wa Kiwila kwa Mil 70 badala ya makubaliano ya awali ya Mil 700 ingawa Mladi wenyewe ulikuwa unathamani ya Shiling Bilion 70!!!!!!!!!!!!! hapo ni changa la kope tuuuuuuuuuu
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ni mradi si mladi..........
   
 8. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #8
  Apr 27, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mkala hivi Ngelengele ipo Mologolo au Alusha?
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  sasa mkapa na mahalu kama ukucha na kidole ..kama kweli mkapa anaenda kutoa ushahidi basi anamchomoa mahalu...maana kitu iko wazi kabisa JK wivu wake na visasi tu ndo vinampa kijiba cha roho .....
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaa nimecheka vibaya sana....daaaa umenikumbusha mbali sana...mologolo ??? Kahumba Night Park nakupenda kwa moyo wangu wote
   
 11. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Kama vp Prof azae naye tu,amuambie Mkapa we mbona una hii scandal,je uko teyari kuukosa mgodi huu?
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  PHP:
  Rais Mstaafu Benjamin Mkapa anatarajiwa kutinga  mahakamani Kisutukatika kesi inayomkabili Prof Mahalu juu ya manunuzi  wa nyumba akiwa balozi nchini ItaliaRais Mkapa atatua Kisutu kutoa  ushahidi katika kesi husika.
   
  Mtu wa muhimu kwenye hii kesi ni aliyekuwa waziri wa nje JK na katibu mkuu wake Philemon Luhanjo hao wengine ni kuongeza chumvi tu kwenye mboga ambayo hata jikoni haijaingia....................
   
 13. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Tayari na si Teyari
   
 14. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  nimelisoma gazeti la mwanahalisi pg2,linasema kuwa Mkapa na Jk wamethibitisha kuwa Prof. Mahalu hakufanya ufisadi. Wametoa mifano ambapo jk kamtetea prof.mara kibao na hata pale bungeni alisema milion elfu mbili na miasaba zilizonunua jengo pale Roma uwazi ulitawala. Pia mkapa anadai kuwa hati ya jengo ambalo prof.mahalu alinunua ni ipo ubalozin na mlalamikaji wa kwanza CAG aliyeenda kuaudit jengo kashapewa kopi ya hati ya jengo. Jk kuongezea kwa mkapa kuwa wakati mahalu anaondoka Roma,rais wa Jamhuri ya pale ilimtunuku cheti cha uongozi uliotukuka. Mwanahalisi wanadah kuwa utetezi huu wja marais wetu unaweza kuonesha kuwa labda kesi hiyo dhidi ya balozi ilifunguliwa aidha kimakosa au kwa taarifa finyu. Wanajamii sasa nadhani michango yetu imepishana na gazeti lililoripoti. Nashauri tulisome vizuri gazeti lenyewe. Nawasilisha.
   
 15. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Thanks Mkuu kwa kuliona hili. Siwapendi watu wanaoharibu lugha yetu tamu ya kiswahili.
   
 16. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaa! Mkuu umeliona eeh! Niliposoma post yake tu nikawa na mashaka kama ID yake ni Mkala au Mkara?!
   
 17. z

  zamlock JF-Expert Member

  #17
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  si wafungwe wote walisha nikinai sana hawa watu wa ccm
   
 18. B

  Bijou JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  bakita mko wapi lugha inaharibiwa?????? Siyo ajashtakiwa, bali hajashtakiwa
   
 19. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #19
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Come again
   
 20. Freestyler

  Freestyler Senior Member

  #20
  Apr 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hahahah!..Imebdi Mkal(r)a atoke nduki na posti yake ya kwanza!..lol!
   
Loading...