kingxvi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 879
- 150
kuna mkufunzi wetu mmoja hapa chuoni kwetu udom ametueleza leo muungano ulikuwa tarehe 22 april ndio siku waliosaini makubaliano tarehe 26 ni siku ilikuwa ya sherehe ya muungano pia kuna mzee alikuwa anahojiwa BBc sasaivi pia kazungumzia hilo swala kuwa hati zilisainiwa tarehe 22