Dr Slaa live on Channel10

nadhani ni continuation ya kile kipindi cha juzi!
Ntagazwa ni damdam cdm
 
huyu muongoza kipindi makwaia ni mpuruzi sana!
hataki kupewa detailed maelezo, anataka kshushua watu tu!
 
ANAELEZA kuwa cdm wanapata vijisenti toka Westiminister kwaajili ya capacity building, ambapo hata ccm wanapata fedha hizo , tena nyingi zaidi!
 
Anasema hawajawahi kupata fedha ya maandamano!...Kama ccm wana ushahidi, basi wawapeleke mahakamani!
 
Dr. na Ntagazwa wanafafanua ushirikiano wa CDM na vyama vingine vya kisiasa kama Conservative-UK na ulinganifu wa sera za CDM hussusan za kiuchum na maslah ya wananchi.Dr. Amejib pia tuhuma za kupewa hela na vyama vya nje.
 
Huyo Makwaia si ndiye alikuwa Namibia? Kama ndiye hana lolote another I d i o t anayetumiwa na serikali ya kifisadi.
 
makwaia anasema kuwa je cdm inaienzi vp amani iliyoachwa na wazee?
CDM kwanini hamkwenda kwenye uapishaji wa rais uwanja wa taifa..je huoni kuwa ni kuvuruga amani?
 
Na kwanini mlitoka nje ya bunge wakati mkuu wa nchi anahutubia..je hamuoni kuwa mnavuruga tunu ya umoja?
Mnataka kwenda kivyenu ndani ya bunge..je mkishika dola tutapona?
 
ANAELEZA kuwa cdm wanapata vijisenti toka Westiminister kwaajili ya capacity building, ambapo hata ccm wanapata fedha hizo , tena nyingi zaidi!

anasema ccm nao wanapewa pesa hizo kwa kuwa wao kila kiongozi ni mwizi basi wanawazika WENZAO
 
lipumbafu sana hili Li makwaiya ...ngoja niangalie game mie man utd anavokakazwa magundi
 
Dr.Slaa:
Mwalimu alitujengea upendo unaoandamana na HAKI na si tofauti nahivyo!
Kwanini bwana kuhenga unaongelea amani bila haki?
 
mi naangalia kupitia decoder ya TING ya ATN nasikia magic radio inaingilia mazungumzo,sijui ni technical au sabotage
 
Uchakachuaji ulifanywa kwenye uchaguzi, na hivyo mimi Slaa sikuona sababu ya kwenda kuapishwa mtu aliyechakachua!
 
lipumbafu sana hili Li makwaiya ...ngoja niangalie game mie man utd anavokakazwa magundi

Ukisikia paa ujue imekukosa, lazima hapa Dr wa sheria za kanisa kabanwa, wafuasi wake wamekuja lugha rasmi ya chama.
 
Back
Top Bottom