Kujivua Gamba Serikalini ni hadi baada ya miezi mitatu ya CCM kujivua Gamba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujivua Gamba Serikalini ni hadi baada ya miezi mitatu ya CCM kujivua Gamba?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmaroroi, Apr 30, 2011.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  CCM imetoa miezi mitatu kwa makada wake wanaotuhumiwa ufisadi wawe wamejitoa katika nafasi walizonazo katika chama. Sasa kama ni hivyo ina maana waendelee kutanua Serikalini na Bungeni? Ingekuwa vema kujivua gamba ingeanza mara moja kwani kuna uozo mwingi sana Serikalini inayokwamisha utekelezaji wa majukumu badala ya ufanisi? Wanajamvi mnasemaje kuhusu hili kwani mimi naona ni kero kuendelea na mafisadi Serikalini, kwenye mashirika ya umma na Bungeni.
   
Loading...