Zitto Kabwe na Nassor Moyo Wahojiwa na radio ya Ujerumani Juu ya Muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto Kabwe na Nassor Moyo Wahojiwa na radio ya Ujerumani Juu ya Muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GHIBUU, Apr 30, 2011.

 1. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Redio | Mzalendo.net

  Fungua hapo taarifa ya bahari ya 15:00-16:00 wakihojiwa viongozi haoo baada ya habari.

  Pia tuma maoni yako hapa JF.
   
 2. A

  Analytical Senior Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna mabishano whether, kuna hati ya muungano ha wengine wanasema haipo. Zitto anasisitiza kuwa hati ya muungano ipo. Kama hivyo ndivyo, kwa nini kopi isiwe freely distributed kwa kila anyetaka awe nayo.
   
 3. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Na kama ipo iko wapi ? Mbona mwanasheria mkuu wa zanzibar ana sema yeye hana kwa maantiki gani ? Sasa kawa wanayo huko tanganyika kwa nini wasiulete huo mkataba wa muungano ? Hizo hayo ndio maneno ya viongozi.
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  zitto atusaidie kaiona wapi? maana huyu jamaa kwa ubishi ghriiiiiiiiiiiii:frusty:
   
Loading...