Watanzania ni watu wa aina gani duniani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania ni watu wa aina gani duniani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, Apr 30, 2011.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani mie kila siku nawatafakari Watanzania nashindwa kuelewa sisi ni watu wa aina gani?
  Je sisi ni sawa na viumbe binadamu kama wengine au tuna mapungufu ya akili ukilinganisha na wanadamu wengine.

  1. Ni rahisi sana kudanganywa, especially na wana siasa. mfano CCM wameenda zao Dodoma, wanarudi Dar wanasema wamejivua gamba. Gamba lipi? Mbona wote (90%) imejaa mafisadi, wa kila aina? Mfano, vikao na mikutano yao mingi inafadhiliwa na mafisadi.

  2. Ni rahisi sana kusahau, wanasiasa wengi wanadanganya wakati wa uchaguzi, na kutoa rushwa ili wachanguliwe na wakishachaguliwa wanajiita waheshimiwa, na hamna chochote wanachotimiza kwenye ahadi zao.

  Wabunge wa CCM kazi kulala bungeni na kupitisha sheria za kuwanyanyasa wapiga kura wao. Wengine ubunge ni maslahi binafsi ndo maana mishahara yao na marupurupu yao hayakatwi kodi. Ndo wao walipitisha sheria ya kodi ya kibaguzi

  3.Tunawajua wezi wote wa mali ya umma, lakini hatuchukui hatua yeyote. Mwizi ndo anaheshimika mitaani.

  4. Wengine wanafikiri mlo wa siku moja, ndo maana kuhonga ni rahisi saana Tanzania ukianzia Mahakama, PCCB, Waandishi, etc

  Ni vigumu sana kuelewa kama hii nchi ina watu wenye akili timamu. This is the most hopeless country ever in the world.

  Tunatakiwa kuomba na kufunga, Mungu atuondolee laana hii ya kifikira
   
 2. Chifunanga

  Chifunanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Umesahau namba 5.

  5. Tunajua matatizo tuliyonayo na wapi tunakosea, ila tunaishia kupost kwenye JF tu na kulist matatizo yetu, ila sio wa kwanza kuyatatua....in short, maneno mingi
   
 3. VISIONEER

  VISIONEER Senior Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maendeleo hayaji kirahisi, nchi nyingi wamefight kufika walipofikia, na hili tanzania ndio tunaloliogopa.
  Sio rahisi mtu aliyezoea ulaji kuacha hivihivi kirahisi na heshima kubwa wanazopata mitaani.
  Hivyo sisi wote tulio na uelewa nini kinaendelea nchini tunatakiwa kuwaelimisha ndugu zetu,jamaa na marafiki pia wale walioko kijijini.
   
 4. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwanza Bunge lihamie Daressalaam, kuokoa mabilioni ya kukalisha kikao cha bunge, nani anajua gharama ya kukalisha kikao cha Bunge?

  Wabunge wote kama si asilimia 90 wanaishi Dar, basi tuachane na gharama, posho, mafuta, kilaji, changudoa na gharama zingine zote za kupeleka kikao Dodoma.

  Kama vipi Dom ibaki JIJI LA VYUO VIKUU tu, tusijidanganye biashara ni bahari, kwani ndio mlango wa Dunia, kule nyikani Dom tutegemee lini meli za kusafirisha vitu kufika?

  Tusilazimishe wakata Dar ni mteremko.
   
 5. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wewe ulie hopefull umelifanyia nini taifa? zaidi yakuandika dokezo kwa boss wako kuomba hela za kodi zetu kila kufanya kazi na kwenda kulewa baa? Peleka ujinga wako huko.
  we want people with active vision.
   
Loading...