Ufisadi utaisha hivi?

MWAKIGOBE

Member
Nov 1, 2010
65
2
Leo ni siku ya pili ninahudhuria semina ya maadili kazini inayp tolewa na taasisi ya maendeleo ya chuo kikuu cha dar es salaam na kufadhiliwana ofisi ya raisi, lengo hasa la semina hii ni kuwafundisha maadili wanachuo wa mwaka wa mwisho katika vyuo vya umma ili watakapo kuwa makazini wajiepushe na mambo ya rushwa/ufisadi unao litafuna taifa hili. Je tutafanikiwa? Nini zaidi kifanyike?
 
wakati wanapopewa hizo semina baba zao nyumbani mnajua wanawaambia nini kuhusu kazi zao?
 
Back
Top Bottom